King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sawa ,unaweza ukawapa maoni polisi waliosema haya ya chini.Mimi hapo sijaona wivu wa kimapenzi. Hiyo ni kesi tofauti
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.
Hii Post yako imenipa machungu sana , imenikumbusha kipindi nasoma Masters yangu Dah 😭😭😭Watu wanalaumu tuu bure
Imagine umeenda kumtafutia mkeo halafu huku nyuma anagawa utamu hadi mimba anapata na kuzaa juu ....hivi maumivu yake yanavumilika? Kila mtu Ana moyo wake wa kukabiliana na usalitii.
Na mkisha dondoka ma sign wote wawili basi ushaingia kwenye utumwaSababu si mapenzi, sababu ni ndoa za kusaini mkataba wa kifungo
Hao Polisi ni wazinguaji. Hapo hakuna wivu wa kimapemzi bali ni matokeo ya kuhisi kudanganywa na kudharirishwaSawa ,unaweza ukawapa maoni polisi waliosema haya ya chini.
Walikufanyaje baba yoyooo😭😭Hii Post yako imenipa machungu sana , imenikumbusha kipindi nasoma Masters yangu Dah 😭😭😭
Kuoa bila kufunga ndoa nieleweshe hapa mkuu na inasaidiajeKwakweli, atakuwa alipagawa, dawa ni kuoa bila kufunga ndoa, inaweza isisaidie sana ila inarahisisha kumpiga chini na kuvuta mwingine kiurahisi zaidi, maana kuna possibility kubwa tu ya kumkana mahakamani
Tena wanawake kutoka babati,katesh sijui hiyo ni kawaida sanaNiliwahi kukutana na scenario kama hii. Mume amesafiri huku nyuma mke akawa analiwa na mimba ikachomoza. Basi yule mke hakuondoka wala nini hadi mimba ikazaliwa na wala hakufukuzwa na yeye anajisemea kwamba yule dogo sio wa pale. Yani hata aibu hana mkavuuuu
Huyo alikuwa mpare kama sijakosea...Tena wanawake kutoka babati,katesh sijui hiyo ni kawaida sana
Ova
Kwahiyo hiyo karatasi inakuwa inakuvuta usitoke nje ya geti??Shida ni ndoa, angekuwa ameoa tu bila kufunga ndoa, angeachana nae tu, shida ni kusaini like karatasi, unakuwa kifungoni, huwezi tu kuondoka
#Kataa ndoa #Ndoa ni utapeli #Ndoa ni wiziDuh
Watu wana roho ngumu sana 🥹🥹
Mtu unaishi na mama watoto na watoto kama mke, ila hakuna kufunga ndoaUpendo upi wa mama utakampa mtoto?wewe baba utampa upendo wako ndio, wa mama mzazi ataupata wapi?
Unajua mtoto anathirika kiasi gani akikosa upendo na malezi ya mama? Ndio maana nasema unamtesa mtoto sababu kama wewe mwanaume mzima umeshindwa kuchagua mke wa kuishi nae Leo unampelekea mtoto alelewe na mtu mwingine kama sio kumtesa ni nini?
Siyo tu kwenda kutafuta, inamaana kipindi chote ulikuwa unamtumia matumizi, kumbe naye anafuga mme mwenzako na kumrishaWatu wanalaumu tuu bure
Imagine umeenda kumtafutia mkeo halafu huku nyuma anagawa utamu hadi mimba anapata na kuzaa juu ....hivi maumivu yake yanavumilika? Kila mtu Ana moyo wake wa kukabiliana na usalitii.
😭😭😭Siyo tu kwenda kutafuta, inamaana kipindi chote ulikuwa unamtumia matumizi, kumbe naye anafuga mme mwenzako na kumrisha
Hakuwa yeye ndugu,kuna roho chafu (devil spirits) huwa zinamwongia mtu,akuja kustuka ameisha ua ndiyo ufahamu unamjia, anaanza kukimbia kujificha [emoji24]Daah huyu jamaa katili sana , nina stress za kufa mtu ila kufanya ivo sitaweza katy
Mwanaume huyu amemuua mke wake na kumjeruhi mtoto wa wiki mbili kwa wivu wa mapenzi, huyu mwanaume alienda kwenye machimbo huyu mwanamke akawa amepata ujauzito, sasa ikaonekana kuna mgogoro wa familia juu ya huyu mtoto," amesema
Mkuu Police hawakuishia kwenye Wivu wa Mapenzi, taarifa yao iliendelea. Na imesema kabisa kuwa ALIENDA MACHIMBO, then MWANAMKE AKAWA AMEPATA MIMBA. Logically inaonyesha Mwana apollo katombewa.Polisi wamesema ni wivu wa kimapenzi ,wewe unakuja na mtazamo wako kwamba alibambikiwa mototo kwa kuwa alikuwa machimbo ,nimekuuliza maswali kadhaa hakuna hata moja ulilojibu zaidi ya kuattack mtu personally.
Mkuu Police hawakuishia kwenye Wivu wa Mapenzi, taarifa yao iliendelea. Na imesema kabisa kuwa ALIENDA MACHIMBO, then MWANAMKE AKAWA AMEPATA MIMBA. Logically inaonyesha Mwana apollo katombewa.
Kesi za Mauaji ya Wapenzi, 90% Police husema chanzo ni WIVU WA MAPENZI. Hii huwa ni kufupisha taarifa.
Mwanaume huyu amemuua mke wake na kumjeruhi mtoto wa wiki mbili kwa wivu wa mapenzi, huyu mwanaume alienda kwenye machimbo huyu mwanamke akawa amepata ujauzito, sasa ikaonekana kuna mgogoro wa familia juu ya huyu mtoto," amesema.
Mkuu taarifa ya Police inasema Mgogoro ni JUU YA MTOTO. na sio Mgogoro kabla. hakuna sehemu imesema Mgogoro ulikuwa nyuma.Yaani amerudi akakuta mkewe amejifungua week mbili zilizopita bila yeye kujua process yote ya utungaji hadi kujifungua? Sasa Polisi walivyosema hapo nyuma kulikuwa na mgogoro ,je ni mgogoro upi sasa na nyuma kwa kipindi gani ?