Kama Hakuna kisima karibu?Hakyanane!Uwe unaniita naenda kukuchotea kiimani.
NB;Kuwa na ndoo mbili-tatu ndani kwa kazi za hapa na pale siyo mbaya.
Mkuu tulia kwanza; hujawahi kukaa eneo lenye shida ya maji wewe!Mwalimu alikuwa anafuga ndoo naona zimezaliana
Nimemiss bilinganya jamani leoKutunzia bilinganya na mlenda wa kusaga.
Asihame wakati vitu vimesharushwa nje😦Anahanishwa kikazi au anahamishwa kimizengwe ili hiyo nyumba apewe mwalimu mwingine? Namuunga mkono 💯%. Asihame kamwe!
Subhanallah!Wewe jamaa wewe!Hilo ndiyo life la uswazi!Mwalimu alikuwa anafuga ndoo naona zimezaliana
kwa uelewa wangu nahisi ana changamoto ya kufikili....majobles wameweza kupanga vyumba wewe na ajira yako unashindwaje😣
View attachment 3674514
Hawa ndiyo walimu ambao Malisa na Niffer wanapaswa kufanya nao mahojiano na kuwatandikia mikeka wachangiwe mahela wajikwamue.Nikimuona mwalimu anahenyeka huwa najisikia vibaya sana.Huwezi kumuhukumu mtu, hujui chochote kumhusu...lakini ndoo zaidi ya 15 ni nyingi mno
Walimu wote ndivyo walivyo.Siyo ubishi.Ni misimamo na kujitambua tu ambapo wengine hutafsiri watakavyo.Huyo unaambiwa ni mbishi anashindana na nammlaka tangu mwaka Jana mwezi wa kumi na moja mkurugenzi wa Wilaya yake alimuamisha jamaa akataa kuhama. Bado hakuchoka waziri akapokea jambo lake mkurugenzi akapewa kibarua ashughulikie suala la huyu mwalimu akaitwa atoe sababu za kukataa uhamisho bado hakueleweka. Aise acha afukuzwe tu maana Hana busara, walimu ni wengi huko mtaani wanafundisha masomo ya historia.
Vitu kurushwa nje sio shida. Familia itaendelea kuishi ndani huku vitu vikiwa nje. No problem.Asihame wakati vitu vimesharushwa nje😦
ila kwa wingi wa ndoo zile lazima awe mbishi..jamaa anaonekana imani kaliHuyo unaambiwa ni mbishi anashindana na nammlaka tangu mwaka Jana mwezi wa kumi na moja mkurugenzi wa Wilaya yake alimuamisha jamaa akataa kuhama. Bado hakuchoka waziri akapokea jambo lake mkurugenzi akapewa kibarua ashughulikie suala la huyu mwalimu akaitwa atoe sababu za kukataa uhamisho bado hakueleweka. Aise acha afukuzwe tu maana Hana busara, walimu ni wengi huko mtaani wanafundisha masomo ya historia.
Mtu mzima lazima awe na misimamo thabiti.ila kwa wingi wa ndoo zile lazima awe mbishi..jamaa anaonekana imani kali
Walimu wote ndivyo walivyo.Siyo ubishi.Ni misimamo na kujitambua tu ambapo wengine hutafsiri watakavyo.
ila kwa wingi wa ndoo zile lazima awe mbishi..jamaa anaonekana imani kali
We ni mwalimu?Walimu wote ndivyo walivyo.Siyo ubishi.Ni misimamo na kujitambua tu ambapo wengine hutafsiri watakavyo.
Duhh!!Vitu kurushwa nje sio shida. Familia itaendelea kuishi ndani huku vitu vikiwa nje. No problem.
Bado hakukuwa na sababu za kumfanya awe dhalili,kituko na mfano wa hivyo kwenye macho,akili na fikra za jamii.Hao viongozi wake(kiongozi)hawana vipawa vya ku-deal na watu wa aina hiyo bila negative conclusions!Hawafai kuwa viongozi.Hana sababu yeyote ya kukataa uhamisho maana bado yupo ndani ya Wilaya na analipohamishiwa ni mahali pa kawaida tu kijijini kidogo. Sasa imagine mwaka mzima anakula hela ya watu hataki kuhama anamaana gani?
Sijawahi kuwa.Ila,nimekuzwa,kuishi na kuzungukwa na walimu.We ni mwalimu?