Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Inawezekana na argue na mtu asiyejua kushika hata jembe.
Wewe unalimaga wapi?
 
Subiri watakuja wazee wa nadharia watakupigia hadi na budget kilimo mbona utakikimbia na hilo shamba utamuachia mwingine.
.
Lakini ukifumba macho ukaachana na vijana wa SUA sijui na wapi najua Bagamoyo hupati mbolea ya ng'ombe ukatafuta mbolea nzuri tu ambayo haitakuumiza kwenye kuhudumia shamba chukua hiyo vaa gumboot nenda shamba trekta lifanye kazi yake
 
Unakuta mabwana shamba wa Bongo wanakwambia usichanganye mahindi na zao lolote lakini juzi kaja bwana shamba mmarekani akashauri tuchanganye mahindi na maharagwe au karanga [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wilaya yote ya Kilindi, Songe pamoja vijiji vyake vya karibu kama vile Lengatei, Kwamba, Misheni, Muheza (hii iko kilindi, sio ile wilaya yenyewe) kwa uchache nafahamu vijiji hivyo. Hivyo vijiji ukienda unapata mashamba. Vizuri zaidi uende na mwenyeji, kila la kheri.
Samahani unaweza kunitajia vijiji yanapopatikana jumatatu ninatarajia kwenda korogwe ili nipitie na huko
 
Shukrani
 
Wewe una uzoefu wa kulima na kuchakata?
Unajua kwanini kalima hekari 5 tu?
Au unafanya kilimo cha JF?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ShUkran sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…