Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Hahhahaa ww mgeni...eti unamwambia kuna mbolea inaitwa DAB...dah!😅...sema apandie mbole...zinajilikana..hyo kumix mazao nadhan mazao ya kunde kunde sio mbya!...ww weka hata mazao kumi shamba moja!/maana unaonekan ndo unajifunza! Weka na uwele kbs
Inawezekana na argue na mtu asiyejua kushika hata jembe.
Wewe unalimaga wapi?
 
Subiri watakuja wazee wa nadharia watakupigia hadi na budget kilimo mbona utakikimbia na hilo shamba utamuachia mwingine.
.
Lakini ukifumba macho ukaachana na vijana wa SUA sijui na wapi najua Bagamoyo hupati mbolea ya ng'ombe ukatafuta mbolea nzuri tu ambayo haitakuumiza kwenye kuhudumia shamba chukua hiyo vaa gumboot nenda shamba trekta lifanye kazi yake
 
Watakuchelewesha kufikia kilele cha mafanikio watakuja na mbinu zao ambazo huwa zinazalisha kidogo.
.
Kuna mbolea inaitwa DAB inauzwa kati ya elfu 45-60 mfuko mmoja unaweza kupandia ekari zote 5 ikiwa unapesa nyingi unaweza kupanda kwa eka mbili au moja na nusu.
Ukiipata hii my friend you're on top of Kilimanjaro mountain na usikubali ushauri wao kwamba usichanganye mazao we piga hata matatu humohumo.
.
Nina shamba mkoa fulani nimeshalima Mahindi, Alizeti na Maharage humohumo mkuu ni habari ingine shamba lina hekari 4 tu
Unakuta mabwana shamba wa Bongo wanakwambia usichanganye mahindi na zao lolote lakini juzi kaja bwana shamba mmarekani akashauri tuchanganye mahindi na maharagwe au karanga [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wilaya yote ya Kilindi, Songe pamoja vijiji vyake vya karibu kama vile Lengatei, Kwamba, Misheni, Muheza (hii iko kilindi, sio ile wilaya yenyewe) kwa uchache nafahamu vijiji hivyo. Hivyo vijiji ukienda unapata mashamba. Vizuri zaidi uende na mwenyeji, kila la kheri.
Samahani unaweza kunitajia vijiji yanapopatikana jumatatu ninatarajia kwenda korogwe ili nipitie na huko
 
Shukrani
Wilaya yote ya Kilindi, Songe pamoja vijiji vyake vya karibu kama vile Lengatei, Kwamba, Misheni, Muheza (hii iko kilindi, sio ile wilaya yenyewe) kwa uchache nafahamu vijiji hivyo. Hivyo vijiji ukienda unapata mashamba. Vizuri zaidi uende na mwenyeji, kila la kheri.
 
Sasa ngoja nikufundishe ww msukuma...ukitumia mbegu zilizotumika nyuma unapata mazao machache na duni unapata mahund madogodogo...makubwa ya kuhesabu..hapa mie naongelea kilimp biashara mkuu...!..na akitaka faida ayaprocess mwenyewe auze unga ataona faida yake! Bado uko nyuma sana aisee!
Wewe una uzoefu wa kulima na kuchakata?
Unajua kwanini kalima hekari 5 tu?
Au unafanya kilimo cha JF?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri watakuja wazee wa nadharia watakupigia hadi na budget kilimo mbona utakikimbia na hilo shamba utamuachia mwingine.
.
Lakini ukifumba macho ukaachana na vijana wa SUA sijui na wapi najua Bagamoyo hupati mbolea ya ng'ombe ukatafuta mbolea nzuri tu ambayo haitakuumiza kwenye kuhudumia shamba chukua hiyo vaa gumboot nenda shamba trekta lifanye kazi yake
ShUkran sana kaka
 
Back
Top Bottom