Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Msakaa Jr hawa watu wengine hudhani kulima ni rahisi, ukifuata mambo anayoyasema unaugua maana utapigika kisawasawa.
.
Huyu mimi nikimchukua nimpeleke shambani ananifia au atalala shamba kabisa maana atakuwa anapiga jembe alafu haoni mwisho

Hahahha!...hahahaha!....! Nakosa la kukuambia! Uwe na siku njema mkulima wa mwendokasi
 
Unakuta mabwana shamba wa Bongo wanakwambia usichanganye mahindi na zao lolote lakini juzi kaja bwana shamba mmarekani akashauri tuchanganye mahindi na maharagwe au karanga [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe pamoja na usukuma wangu nina tuakili akili kidogo.
Nimelima mara ya kwanza mahindi na maharagwe January hii nimevuna.
Nimepiga tena mahindi na njugu na mbaazi.
.
Hapa navuta upepo wa mpunga
 
Msakaa Jr hawa watu wengine hudhani kulima ni rahisi, ukifuata mambo anayoyasema unaugua maana utapigika kisawasawa.
.
Huyu mimi nikimchukua nimpeleke shambani ananifia au atalala shamba kabisa maana atakuwa anapiga jembe alafu haoni mwisho
Kilimo kina wenyewe mkuu, wengi humu watoto wa mjini lakini wanajifanya kukijua kilimo.

Unacho shauri kitampunguzia gharama za uzalishaji, hata wataalamu wenyewe wanasema usitumie mbegu zaidi ya mara Tatu.

Sasa kuna ajabu gani ya wewe kutumia pengu kwa mara ya pili.

Halafu analeta habari za kuchata, kuchakata my feet. Mtu uchakate hekari tano?

Kuchata ni baada ya kuzalisha kwa kiasi kikubwa sio hivi jamaa ndio anaanza hekari unamuingizia masuala ya kuchakata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe pamoja na usukuma wangu nina tuakili akili kidogo.
Nimelima mara ya kwanza mahindi na maharagwe January hii nimevuna.
Nimepiga tena mahindi na njugu na mbaazi.
.
Hapa navuta upepo wa mpunga
Kilimo kinalipa lakini sio kilimo cha JamiiForums, mtu anakuletea makolokolo mengi wakati hayana umuhimu kwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimo kina wenyewe mkuu, wengi humu watoto wa mjini lakini wanajifanya kukijua kilimo.

Unacho shauri kitampunguzia gharama za uzalishaji, hata wataalamu wenyewe wanasema usitumie mbegu zaidi ya mara Tatu.

Sasa kuna ajabu gani ya wewe kutumia pengu kwa mara ya pili.

Halafu analeta habari za kuchata, kuchakata my feet. Mtu uchakate hekari tano?

Kuchata ni baada ya kuzalisha kwa kiasi kikubwa sio hivi jamaa ndio anaanza hekari unamuingizia masuala ya kuchakata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika.
Kilimo kinauma ni kufumba macho tu.
.
Mtu ndio kwanza anaanza alafu anataka kumuumiza natamani wangekuwa wnaujua uhalisia wa kuingia shambani na kulima kweli hii ingewafanya kuwa washauri wasioumiza
 
Aisee umenikumbusha jana tumetoka huko Kwekivu ni mbali balaa kutokea Songe kisha tukaelekea Misheni alafu mvua ilikuwa inanyesha. Mvua imetutandika balaa ila huu utafutaji we acha tu. Alafu watu mtembee jamani sio mnakalia huko mjini na viyoyozi mnasema maisha magumu. Acheni aisee kuna watu wanamaisha magumu mpaka unawaonea huruma.
Ufike mpaka kwekivu

Ekari kukodi elfu 10.
Kulima kwa mkono ekari mmoja elfu 20k kwa trekta 35k.
 
Back
Top Bottom