Lambo jini
Senior Member
- Aug 28, 2018
- 198
- 235
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo songe iligaiwa ikapatikana kata ya bokwa. Sasa huyo diwani Wa bokwa ndo mshua mdogo Wa baba angu huwa ananipigia kelele niende kuchangamkia fursa maana watu wamelala sana
Duuh...kilo 500 kwa heka..tuna safariMkuu zilikuwa ekari mbili.
Pole sana aisee, wenzio bila hata mbolea tunapata gunia si chini 20 kwa hekari moja.Mkuu zilikuwa ekari mbili.
Usitumie takwimu zake kufanya hitimisho la wakulima wote. Utakuwa unafanya propaganda tuDuuh...kilo 500 kwa heka..tuna safari
The late Ali Mafuruku niliona moja ya interview zake anasema , heka moja ya mahindi pale USA inatoa tani 10...hapa kwetu tani 2.5... Huku kuna mtu katoa nusu tani...tutafika kweli ???? Kilimo kilimo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna niliposema n wakulima wote , mie nimelenga yeye...ni hizo takwimu ni WASTANI sio kwamba ni default...ok, we kwa heka watoa tani ngapi ?Usitumie takwimu zake kufanya hitimisho la wakulima wote. Utakuwa unafanya propaganda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu bado mgeni kwenye tasnia.Pole sana aisee, wenzio bila hata mbolea tunapata gunia si chini 20 kwa hekari moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sanamkuu bado mgeni kwenye tasnia.
Taratibu naamini ntafika uko.
Mwaka huu naamini ntapiga hatua zaidi kuliko ya mwaka Jana. Maana awamu hii umakini, na usimamizi Wa shamba utakuwa mkubwa zaidi.
Nimepanga kuwekeza Ekari 15_20.
Kuingia kwny kilimo ni kujitafutia umasikini tu.Duuh...kilo 500 kwa heka..tuna safari
The late Ali Mafuruku niliona moja ya interview zake anasema , heka moja ya mahindi pale USA inatoa tani 10...hapa kwetu tani 2.5... Huku kuna mtu katoa nusu tani...tutafika kweli ???? Kilimo kilimo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hvi mnalazimishwaga kuchangia? Habari za dogo amelima heka 400 zinatusaidia nini sisi wadau, kama yeye aliamua kufanya siri? Au lengo lako ni ku mdiscourage Mtoa Mada?Kuna dogo analima hekari 400 Sumbawanga wala hakuomba ushauri JF. Jitafakari
Kwa mtazamo wako hutaona kitu.Hahahah.mwaka huu nataka nione je yaliyomo yamo kwenye kilimo?maana maneno yamekua meng sana
Kuingia kwny kilimo ni kujitafutia umasikini tu.
dodge
DAB ujinga wake ni ukiitumia basi matumizi yake sharti yawe endelevu.Kwanini umetumia DAB na samadi kwa pamoja?
Mi nipo Singida natumia samadi tu na matokeo niliyoyapata ni zaidi ya mazuri.
Mabua yote nalisha ng'ombe jioni napeleka kuuza maziwa fresh mjini kati
Ardhi yangu haichoki kwa mbolea ya samadi ila hayo mambolea ya minjinguz hapana naharibu ardhi bureee
Wewe ni wakuroga tuKuingia kwny kilimo ni kujitafutia umasikini tu.
dodge
Hiki kitu ukimweleza bwana shamba au ndugu zetu hawa wa nadharia walimaji wa mdomo watakataa kabisa.Pole sana aisee, wenzio bila hata mbolea tunapata gunia si chini 20 kwa hekari moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni wakuroga tu
Acha uoga
Zaidi ya 80% ya wananchi wa nchi hii ni wakulima sio mkuu?Kwahili nakupinga kiongozi
MPE MWONGOZO MKUU!!!Kwenye mbegu chagua mbegu bora!..kilimo chema!
😏Umesharoga wangapi so far?
dodge