Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Mkuu zilikuwa ekari mbili.
Duuh...kilo 500 kwa heka..tuna safari

The late Ali Mafuruku niliona moja ya interview zake anasema , heka moja ya mahindi pale USA inatoa tani 10...hapa kwetu tani 2.5... Huku kuna mtu katoa nusu tani...tutafika kweli ???? Kilimo kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh...kilo 500 kwa heka..tuna safari

The late Ali Mafuruku niliona moja ya interview zake anasema , heka moja ya mahindi pale USA inatoa tani 10...hapa kwetu tani 2.5... Huku kuna mtu katoa nusu tani...tutafika kweli ???? Kilimo kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitumie takwimu zake kufanya hitimisho la wakulima wote. Utakuwa unafanya propaganda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana aisee, wenzio bila hata mbolea tunapata gunia si chini 20 kwa hekari moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu bado mgeni kwenye tasnia.

Taratibu naamini ntafika uko.

Mwaka huu naamini ntapiga hatua zaidi kuliko ya mwaka Jana. Maana awamu hii umakini, na usimamizi Wa shamba utakuwa mkubwa zaidi.

Nimepanga kuwekeza Ekari 15_20.
 
Duuh...kilo 500 kwa heka..tuna safari

The late Ali Mafuruku niliona moja ya interview zake anasema , heka moja ya mahindi pale USA inatoa tani 10...hapa kwetu tani 2.5... Huku kuna mtu katoa nusu tani...tutafika kweli ???? Kilimo kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuingia kwny kilimo ni kujitafutia umasikini tu.

dodge
 
Kuna dogo analima hekari 400 Sumbawanga wala hakuomba ushauri JF. Jitafakari
Hvi mnalazimishwaga kuchangia? Habari za dogo amelima heka 400 zinatusaidia nini sisi wadau, kama yeye aliamua kufanya siri? Au lengo lako ni ku mdiscourage Mtoa Mada?

Heri huyu wa heka mbili na sie wengine tunajifunza kupitia makosa yake au mafanikio yake.

Kiufupi huyo dogo wa heka 400 unaye mu entertain hana msaada kwenye na uzi huu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini umetumia DAB na samadi kwa pamoja?
Mi nipo Singida natumia samadi tu na matokeo niliyoyapata ni zaidi ya mazuri.
Mabua yote nalisha ng'ombe jioni napeleka kuuza maziwa fresh mjini kati
Ardhi yangu haichoki kwa mbolea ya samadi ila hayo mambolea ya minjinguz hapana naharibu ardhi bureee
DAB ujinga wake ni ukiitumia basi matumizi yake sharti yawe endelevu.
Nilitumia samadi (mavi ya ng'ombe) kwa sababu sikuwa na wazo la hii DAB ila vimeoana vibaya mno yani nimepiga mahindi si kitoto natarajia matokeo hayahayo hii round ya pili
 
Hahah kilimo kinataka heavy investment na ni taaluma kama nyingine lkn sasa hivi kila mtu aliyefeli/ambae anataka kujaribu Shughuli yoyote utasikia ngoja nikafanye kilimo.

Wakina Sumri wame invest heavily (ana mpk machine 1 inayogharimu Tsh mil.600) lkn bado analia,sasa anakuja mtu hapa analima kwa kutumia ng'ombe wa kukodisha,mbolea ya samadi na anakwambia kilimo kitamtoa awe don,hahah

Nawajua wafanyabiashara wa mahindi/mazao mbalimbali ambao ni matajiri sana lkn sijabahatika kuwaona wakulima matajiri zaidi ya kuona wakiwafaidisha wenye maduka ya agrovets.
Acha uoga

dodge
 
Kwahili nakupinga kiongozi
Zaidi ya 80% ya wananchi wa nchi hii ni wakulima sio mkuu?

Vipi maisha yao unayaonaje?

Unadhani ni kwanini watu hua wanalia serikali tunaomba itukumbuke sisi watoto wa wakulima

Hapo 'neno watoto wa wakulima' unadhani hua linamaanisha nini mkuu.

dodge
 
Back
Top Bottom