Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Msakaa Jr hawa watu wengine hudhani kulima ni rahisi, ukifuata mambo anayoyasema unaugua maana utapigika kisawasawa.
.
Huyu mimi nikimchukua nimpeleke shambani ananifia au atalala shamba kabisa maana atakuwa anapiga jembe alafu haoni mwisho
Kumbe pamoja na usukuma wangu nina tuakili akili kidogo.Unakuta mabwana shamba wa Bongo wanakwambia usichanganye mahindi na zao lolote lakini juzi kaja bwana shamba mmarekani akashauri tuchanganye mahindi na maharagwe au karanga [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha dah!!!Nyumbani kwenu kuna tatizo gani? Mbona songe ni wilaya kwa mda mrefu sana lakini bado iko nyuma sana.!
Wewe Wacha kudanganya watu humu, niko na chapa ya Pundamilia siku 90 hata hivyo bado yanakuwa na maji maji sio makavu.Sikumbuki...niliipanda hyo siku , 60/kamili tukala.mahindi
Ndio uhalisia wenyewe huo.Nalimia wasap mkuu! Isiwe kesi mzeeya!
Ufike mpaka kwekivuSamahani unaweza kunitajia vijiji yanapopatikana jumatatu ninatarajia kwenda korogwe ili nipitie na huko
Kilimo kina wenyewe mkuu, wengi humu watoto wa mjini lakini wanajifanya kukijua kilimo.Msakaa Jr hawa watu wengine hudhani kulima ni rahisi, ukifuata mambo anayoyasema unaugua maana utapigika kisawasawa.
.
Huyu mimi nikimchukua nimpeleke shambani ananifia au atalala shamba kabisa maana atakuwa anapiga jembe alafu haoni mwisho
Ufike mpaka kwekivu
Ekari kukodi elfu 10.
Kulima kwa mkono ekari mmoja elfu 20k kwa trekta 35k.
Mkuu umewahi kutumia SEEDCO 513?Wewe Wacha kudanganya watu humu, niko na chapa ya Pundamilia siku 90 hata hivyo bado yanakuwa na maji maji sio makavu.
Mara nyingi, natumia Rubango.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimo kinalipa lakini sio kilimo cha JamiiForums, mtu anakuletea makolokolo mengi wakati hayana umuhimu kwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe pamoja na usukuma wangu nina tuakili akili kidogo.
Nimelima mara ya kwanza mahindi na maharagwe January hii nimevuna.
Nimepiga tena mahindi na njugu na mbaazi.
.
Hapa navuta upepo wa mpunga
Hahahaha!Injinia mwenye paso katika ubora wako[emoji41][emoji41]
Huko ndio pakuja sasa, kama gharama zipo chini kiasi hikiUfike mpaka kwekivu
Ekari kukodi elfu 10.
Kulima kwa mkono ekari mmoja elfu 20k kwa trekta 35k.
Ndio mkuu.Shukrani mashamba ni tambarare?
Hakika.Kilimo kina wenyewe mkuu, wengi humu watoto wa mjini lakini wanajifanya kukijua kilimo.
Unacho shauri kitampunguzia gharama za uzalishaji, hata wataalamu wenyewe wanasema usitumie mbegu zaidi ya mara Tatu.
Sasa kuna ajabu gani ya wewe kutumia pengu kwa mara ya pili.
Halafu analeta habari za kuchata, kuchakata my feet. Mtu uchakate hekari tano?
Kuchata ni baada ya kuzalisha kwa kiasi kikubwa sio hivi jamaa ndio anaanza hekari unamuingizia masuala ya kuchakata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha!
Ndio mkuu.
Ardhi ya kununua ni bwelele pia.
Ukipata mda nenda Kafanye survey ya kutosha.
Ufike mpaka kwekivu
Ekari kukodi elfu 10.
Kulima kwa mkono ekari mmoja elfu 20k kwa trekta 35k.