Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,714
- 2,376
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silimi , ila naamn Kuna wana JF wengi tu ni wakulima wanapita hapa, watanufaika
Hapana kwa sasa hivi ndio bei na sokoni au mijini ni laki na ishirii mpaka 130000. Tembelea masoko. Ndio kisa kilo ya unga ni 1600 mpaka 1800. Cha ajabu hata mbeya mjini nilikuta unga unauzwa kwa 1600 wakati ndio kwenye mahindi kwa wingi. Hii niliona wiki 2 zilizopita

Naomba kuuliza, hekari moja ki wastani napaswa kutoa gunia ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sodeco hapo kg shilingi ngapi kwa leo?Soko lawapi bei hiyo ndugu? Mimi nina tani 120 nipe mia850 kwakilo. Zipo Songea
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanadrop kumbe
Yanadrop kumbe
Sodeco ndio iko wapi!? Wananunua mahindi tu au na vinginevyo!? Nawezaje kukonect nao!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza amini hapa hakuna mbolea iliyotumika?