Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Hivi jamani Bro naomba kuuliza jamani ..et wakisema kwa hekari gunia 30 hadi 40 ..wengne et gunia 10 hadi 15 ni wanamaanisha Yale Mahindi yaloPukuchuliwa tayari au ni mahindi na Magunzi yake yanapakiwa kwenye magunia hivhvo ....
Naomba unsaidie hapo plz
Hizo ni gunia zilizopukuchuliwa
 
Habari wakuu, nataka kujikita kwenye kilimo cha mahindi mwaka ujao katika mkoa wa songwe, naomba kujua changamoto zake
 
Sina hakika ya idadi ya miche kwenye ekari ,hiyo idadi ni ya hekta 1=ekari 2.5
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Kulima hekari tano hadi kuvuna ni shingapi?
 
Wataalam nauliza namna ya kuweka mbolea ya kupandia. Nikuweka tu kwenye shimo? Au natakiwa nifanyeje?
 
Mm si mtaalamu ila nachojua ni kuwa uancbimba shimo utaweka mbolea Kisha utafukia Kisha utaweka mbegu Kisha utafukia
 
Kuna thread hapa jamaa alijiwekezea kama Million Mbili kwenye kilimo hicho cha Mahindi sikumbuki zilikua hekar ngapi ila alisema anasubiri bei ipande atapiga kama 30M hv ... .
Sasa ukiangalia kwenu nyie hicho kilimo faida ake n ndogo mno ukiangalia ata gharama zenu za uwekezaji zilivyo kubwa ni kama hupati ata Mara mbili ya Pesa uloiwekeza
Sijayaelewa maelezo yako, jaribu kupangilia tena hoja yako maana nashindwa kupata muunganiko wa hoja hadi unasema hamna faida
 
Kuna thread hapa jamaa alijiwekezea kama Million Mbili kwenye kilimo hicho cha Mahindi sikumbuki zilikua hekar ngapi ila alisema anasubiri bei ipande atapiga kama 30M hv ... .
Sasa ukiangalia kwenu nyie hicho kilimo faida ake n ndogo mno ukiangalia ata gharama zenu za uwekezaji zilivyo kubwa ni kama hupati ata Mara mbili ya Pesa uloiwekeza
Usiamini kila andiko humu ndani ukadhani ni ukweli huwezi kuwekeza milioni mbili kwenye kilimo biashara cha mahindi utegemee milioni 30. Milioni mbili mbili haiwezi kulima zaidi ya ekari 4 endapo kama nguvu kazi ukafanya mwenyewe.
 
Hyo anayewekeza mil.2 na kutegemea kupata 30 mil.atakua motivation speaker hakuna uwekezaj wa hivyo.
 
Sawa
Asante nashukuru na wewe umeliona hilo yaani kuna mtu kabisa akilini mwake ameaminishwa unaweka milioni 2 kwenye kilimo cha mahindi unapata mil 30
m mwenyewe najua haiwezekana ila jamn na nyie hzo gharama ziko huu mno ...
Yan hekari moja tu zaid ya laki saba
 
Unakuta mabwana shamba wa Bongo wanakwambia usichanganye mahindi na zao lolote lakini juzi kaja bwana shamba mmarekani akashauri tuchanganye mahindi na maharagwe au karanga [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kule Kilimanjaro miaka yote mpaka leo hii kilimo chetu Ni mchanganyiko wa mahindi na maharage hata wakati mmoja haijawahi kutokea kufeli labda mvua isinyeshe!
 
Back
Top Bottom