Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Hayo mahindi ya laki kwa gunia ni mahindi ya kuchoma?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kwa sasa hivi ndio bei na sokoni au mijini ni laki na ishirii mpaka 130000. Tembelea masoko. Ndio kisa kilo ya unga ni 1600 mpaka 1800. Cha ajabu hata mbeya mjini nilikuta unga unauzwa kwa 1600 wakati ndio kwenye mahindi kwa wingi. Hii niliona wiki 2 zilizopita
 
Soko lawapi bei hiyo ndugu? Mimi nina tani 120 nipe mia850 kwakilo. Zipo Songea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa anayehitaji Sungura Newzealand Rabbit na Dutch mixed breed kwa bei poa tu

#Inbox for more info
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…