Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Kilimo hiki utachelewa mkuu, mahindi yanahesabika hivo shambani na hayakui uniformly! Mahindi yanatakiwa yashone, lengo uvune kwawingi iwezekanavyo katika kila sqmt!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimetudishia kupanda maana mvua ilikuwa imrsimama. Kwa ujumla hizo ni Heka 20 imebidi nipande alizeti ndani yake.

Hizo kwenye picha ni heka 35 zenyewe ziliota vizuri japo nimeamka kuweka alizeti pia. Kitu kilicho sababisha ni upandaji maana nilikuwa nimechelewa na nguvu kazi ikiwa shida hivyo nilitupia mbegu

God save us
 
Duh, mkuu kilimo cha namna hiyo unaona kinakulipa? Unapanda mbegu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello!!
Naomba tuangalie hii
Mahindi ya Njano hayo
 

Attachments

  • VID-20200411-WA0077.mp4
    5.3 MB
Habari wadau.

Kwa wale waloshawahi kulima mahindi kwa eneo kubwa, sio chini ya ekari 50, naombeni ushauri wa masuala yafuatayo

1. Hapa nchini, mkoa gani ambao zao la mahindi linakubali sana. Nimetaarifiwa Mkoa wa Manyara una wakulima wengi sana wa mahindi lakini sijajua ni sababu ya ardhi, hali ya hewa au wataalamu wengi wa kilimo eneo hilo.

2. Kama nikilima na kuhitaji kupata mavuno mengi na bora ni mambo yepi ya msingi ya kuzingatia? Naamini mavuno ya faida zaidi ni kuanzia Gunia 30 kwa ekari

3. Naomba kufahamu changamoto gani ambazo wakulima wa mahindi upambana nazo Shambani ukiacha kushuka kwa bei ya mahindi nyakati moja hadi nyingine

4. Muda gani mzuri zaidi wa kupanda mahindi ili kuendana na majira ya mvua na mbegu gani zinafanya vizuri zaidi kwa mahindi ya unga (sio ya kuchemsha)?

5. Je, ni kweli gharama ya kulima Mahindi haizidi Tsh. 600,000 kwa ekari au hizo ni hesabu tu za mtandaoni?

Nitashukuru sana sana nikipata ufafanuzi wa masuala haya huku mie nikiendelea na kutafiti masoko yakoje.

Nashukuru
 
Mahindi ni zao ambalo mikoa mingi sana hapa Tz unaeza kupata mazao mengi, Njombe,Songea na Mbeya ni baadhi tu ya sehemu kilomo cha mahindi kinalimwa kibiashara kwa kiasi kikubwa sana izo ekari 50 unazotaja Songea watu wanalima sana,
na soko wanategemea mikoa ya Lindi na Mtwara ndio wanunuzi wakubwa kwasababu wapo karibu na iyo mikoa wanalima kwa ajili ya chakula tu kwa hiyo wakiishiwa kimbilio Songea
 
Asante kwa ushauri

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 

Hivi jamani Bro naomba kuuliza jamani ..et wakisema kwa hekari gunia 30 hadi 40 ..wengne et gunia 10 hadi 15 ni wanamaanisha Yale Mahindi yaloPukuchuliwa tayari au ni mahindi na Magunzi yake yanapakiwa kwenye magunia hivhvo ....
Naomba unsaidie hapo plz
 
nijuavyo mimi ni yalopukuchuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…