Hizo ni gunia zilizopukuchuliwaHivi jamani Bro naomba kuuliza jamani ..et wakisema kwa hekari gunia 30 hadi 40 ..wengne et gunia 10 hadi 15 ni wanamaanisha Yale Mahindi yaloPukuchuliwa tayari au ni mahindi na Magunzi yake yanapakiwa kwenye magunia hivhvo ....
Naomba unsaidie hapo plz
Kulima hekari tano hadi kuvuna ni shingapi?Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.
Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.
Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
Wasiliana nasi kwa 0621133117Kulima hekari tano hadi kuvuna ni shingapi?
Fungua hii View attachment Gharama ya uzalishaji 301.pdfKulima hekari tano hadi kuvuna ni shingapi?
Yan Million 5 hata kabla ya kuwalipa nalima hekari 7 na kuwalipa assume n hekar 5 daaaah hmna faidaFungua hii View attachment 1602147
Mm si mtaalamu ila nachojua ni kuwa uancbimba shimo utaweka mbolea Kisha utafukia Kisha utaweka mbegu Kisha utafukiaWataalam nauliza namna ya kuweka mbolea ya kupandia. Nikuweka tu kwenye shimo? Au natakiwa nifanyeje?
Sijayaelewa maelezo yako, jaribu kupangilia tena hoja yako maana nashindwa kupata muunganiko wa hoja hadi unasema hamna faidaYan Million 5 hata kabla ya kuwalipa nalima hekari 7 na kuwalipa assume n hekar 5 daaaah hmna faida
Ndio utalaamu wenyewe huo mkuu, shukrani.Mm si mtaalamu ila nachojua ni kuwa uancbimba shimo utaweka mbolea Kisha utafukia Kisha utaweka mbegu Kisha utafukia
Sijayaelewa maelezo yako, jaribu kupangilia tena hoja yako maana nashindwa kupata muunganiko wa hoja hadi unasema hamna faida
Usiamini kila andiko humu ndani ukadhani ni ukweli huwezi kuwekeza milioni mbili kwenye kilimo biashara cha mahindi utegemee milioni 30. Milioni mbili mbili haiwezi kulima zaidi ya ekari 4 endapo kama nguvu kazi ukafanya mwenyewe.Kuna thread hapa jamaa alijiwekezea kama Million Mbili kwenye kilimo hicho cha Mahindi sikumbuki zilikua hekar ngapi ila alisema anasubiri bei ipande atapiga kama 30M hv ... .
Sasa ukiangalia kwenu nyie hicho kilimo faida ake n ndogo mno ukiangalia ata gharama zenu za uwekezaji zilivyo kubwa ni kama hupati ata Mara mbili ya Pesa uloiwekeza
Kama ni samadi ataweka hivyo Kama ni DAP au NPK atasubir zao liote ndo aweke mbolea .Mm si mtaalamu ila nachojua ni kuwa uancbimba shimo utaweka mbolea Kisha utafukia Kisha utaweka mbegu Kisha utafukia
Hyo anayewekeza mil.2 na kutegemea kupata 30 mil.atakua motivation speaker hakuna uwekezaj wa hivyo.Usiamini kila andiko humu ndani ukadhani ni ukweli huwezi kuwekeza milioni mbili kwenye kilimo biashara cha mahindi utegemee milioni 30. Milioni mbili mbili haiwezi kulima zaidi ya ekari 4 endapo kama nguvu kazi ukafanya mwenyewe.
Asante nashukuru na wewe umeliona hilo yaani kuna mtu kabisa akilini mwake ameaminishwa unaweka milioni 2 kwenye kilimo cha mahindi unapata mil 30Hyo anayewekeza mil.2 na kutegemea kupata 30 mil.atakua motivation speaker hakuna uwekezaj wa hivyo.
m mwenyewe najua haiwezekana ila jamn na nyie hzo gharama ziko huu mno ...Asante nashukuru na wewe umeliona hilo yaani kuna mtu kabisa akilini mwake ameaminishwa unaweka milioni 2 kwenye kilimo cha mahindi unapata mil 30
Kule Kilimanjaro miaka yote mpaka leo hii kilimo chetu Ni mchanganyiko wa mahindi na maharage hata wakati mmoja haijawahi kutokea kufeli labda mvua isinyeshe!Unakuta mabwana shamba wa Bongo wanakwambia usichanganye mahindi na zao lolote lakini juzi kaja bwana shamba mmarekani akashauri tuchanganye mahindi na maharagwe au karanga [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app