the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
tafadhar mkuu naomb msaada wa jinsi ya kupata hizo mbegu aina ya anna f1 au eden f1 ikibidi weka na bei hapa..naomba n pm kwa kalingaasukile@gmail.com
Kwny kiazi hapoooo...nlikuwa na options hzo mbili kiazi au nyanya,njegere nimelima ntaanza kuchuma keshokutwa Malila. Ukipita tena huku karibu sana mkuu tuonane JF imeunga undugu
Hongera, njegere za msimu huu zinalipa mbaya, huko napita july kukagua fire break za misitu yangu. Pia omba kwa wenyeji ulime karoti. Mgagao ni maarufu kwa njegere/karoti na kabichi. Nitakutafuta nikipita pande zile. Asante mkuu.
Nimrinjoy kweli somo la leo
Asante ndugu ndo maana nikaleta hapa nipate ushauri zaidi..... ni katika kuboresha tu. Kisima