Ms. Kadadaa jumapili
Senior Member
- Jul 9, 2013
- 102
- 48
hiyo ni gharama ya kila kitu ikiwa ni pamoja na pump na mafuta utaweza hudumia heka moja na vitunguu hukaa shambani miezi mitatu tuu unatoa almasi yako swafiii na mteja uakuwa hapo shambani.
Mkuu hii umeiweka vizuri..Ntakutafuta
Dodoma 1 na mm nilikuwa natamani kweli kulima vitunguu lkn sikuweza kupata muongozo nipo dar lkn kwetu ni mbeya, nimeanza km mjasiliamali mdg kuprocess vitunguu saumu ambavyo bei yake inapanda sokoni kila leo ss nikawa nafikiria kulima mwenyewe, nahitaji kupata details zaidi kuhusu kilimo cha vitunguu maji au saumu please nichek no yangu 0175675077
Mkubwa kufanya mapinduzi ya vipi vitunguu vyako unataka viwe inawezekana, ila kwenye suala la soko ni ngumu sana. Me ni mkulima wa vitunguu huu mwaka wa tano sasa na mali yangu huwa ziuzii shamba naleta mjini mwenyewe. Madalali wameharibu soko na wameteka kila mahala, huwez kutoka na vitunguu vyako hadi zanzibar au commoro hautauza na utashangaa ni kwann. Kuna mkongwe mmoja aliwah jibeba na mzigo wake hadi comorro kufika kule wakawa wanamuangalia kama nini sijui, na alipiga hasara mzigo wote. Individually huwez kuwatoka madalali na hii ni mpaka wizara husika iingilie kati, bila ivo tutaendelea kufanya biashara na madalali tu. Naongea kwa experience wakuu.
Huko uliko bei ya kitunguu swaumu ikoje kwa gunia, au kwa dishi??Dodoma 1 na mm nilikuwa natamani kweli kulima vitunguu lkn sikuweza kupata muongozo nipo dar lkn kwetu ni mbeya, nimeanza km mjasiliamali mdg kuprocess vitunguu saumu ambavyo bei yake inapanda sokoni kila leo ss nikawa nafikiria kulima mwenyewe, nahitaji kupata details zaidi kuhusu kilimo cha vitunguu maji au saumu please nichek no yangu 0175675077
Ni kweli kabisa mkuu, madalali hawafai hata kidogo kwenye biashara ya mazao hasa ufikapo sokoni watakuminya na ndio wanaochangia biashara ya mazao ifungashwe kwa lumbesa/kilemba hii ni ukandamizaji mkubwa kwa mkulima.
Tatizo kubwa ni matajiri huchimbwa mkwara na hao madalali na ndo wanaowafanya watambe na kuliteka soko.
Huko uliko bei ya kitunguu swaumu ikoje kwa gunia, au kwa dishi??
Mkuu .... ninayo fursa ya kupata mashine ya kumenya na kusaga vitunguu saumu ..... halafu vikawa packed kwenye mifuko au makopo madogo ya plastic na kuuzwa sokoni, supermarket, butchery
Unaionaje hii idea ....