Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko


Ni kweli kabisa. Hapa ukimwambia mtu ulimaji na soko la vitunguu linachangamoto wanahisi tunadanganya. Sasa hivi Igawa vitunguu gunia 35000/=

Na upande wa pili Madalali ni tatizo ktk hii shughuli. Labda tusubiri tuone huko mbeleni. Lakini kwa sasa hivi hali sio nzuri.
 

Ifadhi
 

Bei ilikuwa chini ila kwa sasa imeanza kuamka, shambani Ruaha Mbuyuni kwa sasa ni 55,000-60,000 kwa gunia. Kama unaweza peleka sokoni mwenyewe.
 
Bei ilikuwa chini ila kwa sasa imeanza kuamka, shambani Ruaha Mbuyuni kwa sasa ni 55,000-60,000 kwa gunia. Kama unaweza peleka sokoni mwenyewe.

Thank you very much. Nitafanyia kazi hilo.
 

nami niungeni 0787100906
 

Mkuu mbona nasikia Mbeya bei ilishafika 160,000 Kwa gunia Kwa vile kuna soko kuu huko DRC? Nasikia Wakongo wanakuja kuchukua sana vitunguu huko imekuwaje bei ishuke Hadi 35,000 ghafla hivyo?
 
Mkuu mbona nasikia Mbeya bei ilishafika 160,000 Kwa gunia Kwa vile kuna soko kuu huko DRC? Nasikia Wakongo wanakuja kuchukua sana vitunguu huko imekuwaje bei ishuke Hadi 35,000 ghafla hivyo?

Huwezi amini navyokwambia.... Bei ni 35000/-@gunia. Hilo soko ni kweli mwezi wa 3 ilifika hadi 190000/-

Sasa hivi imeshuka sana. Mtu akiingia kichwa kichwa anaweza pasuka kichwa.
 
Jamani naomba mnijuze ulimaji wa vitunguu huko karatu ,inakuaje na mashamba kukodisha bei gani?na msim gani unakuwa na kilimo kizuri cha kitunguu naomben msaada na gunia la vitunguu bei gani?
 
Na ukitaka mbolea nzuri ya kuzuia wadudu waharibifu wasile mazao yako na kupata faida ya mazao yako kwa asilimia 30 nitafute mimi mbolea ninayo bonyeza hapa.[h=1]Topic: Kwa wale wanaotaka Mbolea ya kuwauwa wadudu waharabifu na kuzalisha mazao kwa wingi[/h]
 

View attachment 176948
Hii Hapa super gro waliotumia humu tafadhali Walete ushuhuda imesaidia wengi sana
 
Karibu Kilosa tulime vitunguu wakati huu wa kiangazi ukilima masika inakula kwako. Huku tunalima kwa umwagiliaji na challenge pia huwa kubwa wakati wa uanikaji/kuvikausha ukimess tu vinakuozea
 
Mimi Mbolea ya kuzuia waduduwaharibifu wasile mazao yako pamoja na kuvuna kupata faida ya asilimia 30ya mazao yako nitafute bonyeza hapa.[h=1]Topic: Kwa wale wanaotaka Mbolea ya kuwauwa wadudu waharabifu na kuzalisha mazao kwa wingi[/h]
 
Biashara ya kilimo cha vitunguu ni kama biashara nyingine, huwezi ukasema utapiga hela tu bila kuwa na mbinu za kuepuka changamoto ndo mana ukitumia wazoefu hayo madhara hutoyapata.

Shida watu wanasikia tu mtaani kwamba kilimo cha vitunguu kinalipa then ghafla tu wanakimbilia mabondeni kwenda kulima bila kujua nini kipo nyuma yake ndo mana huishia kupata hasara na kuwakatisha tamaa wengine wenye nia ya kuanza kilimo.

Kwahiyo nashauri watu kuconsult wazoefu wa biashara ya vitunguu kabla ya kuingia huko manake kuna wanaotoka kapa pia.

Narudia kusema tena, tokea nimeanza kilimo cha vitunguu sijawahi uza gunia langu chini ya tshs 85,000/= hata mwaka huu ambao umekua kilio kwa watu wengi.

Tupige kazi na kuachana na maneno ya vijiweni.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…