Mtali
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 3,660
- 2,932
Ntakupa figures kesho,habari nyingi zisemwazo kuhusu ulimaji wa vitunguu hazina uhalisia na zaidi watu huzungumza mazuri tu bila kuweka wazi changamoto zilizopo mwisho wa siku ni majonzi na vilio......kilimo ni kizuri na kinaweza kukutoa kimaisha but yampasa kila aingiaye ajue ya kuwa kuna upande wa pili wa kukosa pia.............
Ni kweli kabisa. Hapa ukimwambia mtu ulimaji na soko la vitunguu linachangamoto wanahisi tunadanganya. Sasa hivi Igawa vitunguu gunia 35000/=
Na upande wa pili Madalali ni tatizo ktk hii shughuli. Labda tusubiri tuone huko mbeleni. Lakini kwa sasa hivi hali sio nzuri.