Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Ntakupa figures kesho,habari nyingi zisemwazo kuhusu ulimaji wa vitunguu hazina uhalisia na zaidi watu huzungumza mazuri tu bila kuweka wazi changamoto zilizopo mwisho wa siku ni majonzi na vilio......kilimo ni kizuri na kinaweza kukutoa kimaisha but yampasa kila aingiaye ajue ya kuwa kuna upande wa pili wa kukosa pia.............

Ni kweli kabisa. Hapa ukimwambia mtu ulimaji na soko la vitunguu linachangamoto wanahisi tunadanganya. Sasa hivi Igawa vitunguu gunia 35000/=

Na upande wa pili Madalali ni tatizo ktk hii shughuli. Labda tusubiri tuone huko mbeleni. Lakini kwa sasa hivi hali sio nzuri.
 
Ni kweli kabisa. Hapa ukimwambia mtu ulimaji na soko la vitunguu linachangamoto wanahisi tunadanganya. Sasa hivi Igawa vitunguu gunia 35000/=. Na upande wa pili Madalali ni tatizo ktk hii shughuli. Labda tusubiri tuone huko mbeleni. Lakini kwa sasa hivi hali sio nzuri.

Ifadhi
 
Ni kweli kabisa. Hapa ukimwambia mtu ulimaji na soko la vitunguu linachangamoto wanahisi tunadanganya. Sasa hivi Igawa vitunguu gunia 35000/=. Na upande wa pili Madalali ni tatizo ktk hii shughuli. Labda tusubiri tuone huko mbeleni. Lakini kwa sasa hivi hali sio nzuri.

Bei ilikuwa chini ila kwa sasa imeanza kuamka, shambani Ruaha Mbuyuni kwa sasa ni 55,000-60,000 kwa gunia. Kama unaweza peleka sokoni mwenyewe.
 
Bei ilikuwa chini ila kwa sasa imeanza kuamka, shambani Ruaha Mbuyuni kwa sasa ni 55,000-60,000 kwa gunia. Kama unaweza peleka sokoni mwenyewe.

Thank you very much. Nitafanyia kazi hilo.
 
Habari wakuu wote!!..Tumetengeneza group la whtsapp la Ujasiliamali ili kurahisisha vizuri mawasiliano ya karibu...Kama huto jali unaweza weka number yako ya simu hapa au uka ni PM ili tukuaDd mule...
Tungependaa sana Kupata mabwanaa shambaa na mabibi shambaaa , wafugaji , wafanyabiashara pia' ili tupeani maujuzi na mbinu mbali mbali za ujasiliamali...
KARIBUNIiiiiiiiiii

#GAZETI
#ELNINO
#f2rk
#concrete15
#KITANGE
#Gagurito
#Livanga
#Baraka69
#KIRIKIOU

nami niungeni 0787100906
 
Jamani tuache masihara. Wenzenu huku Igurusi na Igawa mbeya tunalia bei ni mbaya sana. Na inakatisha tamaa. Sasa hivi navyoandika hii kitu. Bei ya gunia la vitunguu lenye ujazo wa debe saba ni Tsh. 35000/= (Elfu thelathini na tano) Kama kuna namna nyingine tusaidiane bei inakatisha tamaa. Mimi hadi sasa nasita kuvuna hivi vitunguu.

Mkuu mbona nasikia Mbeya bei ilishafika 160,000 Kwa gunia Kwa vile kuna soko kuu huko DRC? Nasikia Wakongo wanakuja kuchukua sana vitunguu huko imekuwaje bei ishuke Hadi 35,000 ghafla hivyo?
 
Mkuu mbona nasikia Mbeya bei ilishafika 160,000 Kwa gunia Kwa vile kuna soko kuu huko DRC? Nasikia Wakongo wanakuja kuchukua sana vitunguu huko imekuwaje bei ishuke Hadi 35,000 ghafla hivyo?

Huwezi amini navyokwambia.... Bei ni 35000/-@gunia. Hilo soko ni kweli mwezi wa 3 ilifika hadi 190000/-

Sasa hivi imeshuka sana. Mtu akiingia kichwa kichwa anaweza pasuka kichwa.
 
Jamani naomba mnijuze ulimaji wa vitunguu huko karatu ,inakuaje na mashamba kukodisha bei gani?na msim gani unakuwa na kilimo kizuri cha kitunguu naomben msaada na gunia la vitunguu bei gani?
 
Wakuu salamu.

Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji.

Nimenunua power tiller ambayo nategemea itanisaidia sana kwenye kilimo cha umwagiliaji!

Kilimo Kwanza!
Na ukitaka mbolea nzuri ya kuzuia wadudu waharibifu wasile mazao yako na kupata faida ya mazao yako kwa asilimia 30 nitafute mimi mbolea ninayo bonyeza hapa.[h=1]Topic: Kwa wale wanaotaka Mbolea ya kuwauwa wadudu waharabifu na kuzalisha mazao kwa wingi[/h]
 
hello,JF members hivi ninaweza kuanza kulima vitunguu kuanzia mwezi mach?

hiyo hapo mbolea ya uhakika,Ina matokeo mazuri

ImageUploadedByJamiiForums1407816593.749213.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1407816672.271356.jpg
 
Wakuu salamu.

Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji.

Nimenunua power tiller ambayo nategemea itanisaidia sana kwenye kilimo cha umwagiliaji!

Kilimo Kwanza!

View attachment 176948
Hii Hapa super gro waliotumia humu tafadhali Walete ushuhuda imesaidia wengi sana
 
Karibu Kilosa tulime vitunguu wakati huu wa kiangazi ukilima masika inakula kwako. Huku tunalima kwa umwagiliaji na challenge pia huwa kubwa wakati wa uanikaji/kuvikausha ukimess tu vinakuozea
 
Please ndugu zangu ambao mnabweteka na kutafuta kazi kuna kilimo cha vitunguu, two years unakuwa mtu mwingine kabisa na huta penda kuajiriwa na kama utakuwa kwenye ajira unaweza acha kabisa na kuamua kuwa mkulima.

Tusiwaze kuajiriwa tu tutakufa maskin mwisho wa siku. Mimi nimejaribu na sasa nataka niache kazi na kuwa moja ya wakulima na wafanyabiashara wakubwa wa vitunguu na mazao yote ya shamba kwa ujumla ila pamoja na hilo bado nahitaji muongozo mkubwa kwa watu waliobobea kwenye ukulima pamoja na biashara ya mazao ya shambani ili waweze kunishauri zaidi.

Mimi napatikana moshi pamoja na arusha ndiko napofanyia biashara zangu. Please kwa yoyote ambaye amebobea kwenye biashara hii zaidi naomba ani PM ili tuweze kupeana contact ili mkukuza network na bidae kuweza kuanzisha kitu flani kwa manufaa yetu asanteni sana na wakilisha.
Mimi Mbolea ya kuzuia waduduwaharibifu wasile mazao yako pamoja na kuvuna kupata faida ya asilimia 30ya mazao yako nitafute bonyeza hapa.[h=1]Topic: Kwa wale wanaotaka Mbolea ya kuwauwa wadudu waharabifu na kuzalisha mazao kwa wingi[/h]
 
Biashara ya kilimo cha vitunguu ni kama biashara nyingine, huwezi ukasema utapiga hela tu bila kuwa na mbinu za kuepuka changamoto ndo mana ukitumia wazoefu hayo madhara hutoyapata.

Shida watu wanasikia tu mtaani kwamba kilimo cha vitunguu kinalipa then ghafla tu wanakimbilia mabondeni kwenda kulima bila kujua nini kipo nyuma yake ndo mana huishia kupata hasara na kuwakatisha tamaa wengine wenye nia ya kuanza kilimo.

Kwahiyo nashauri watu kuconsult wazoefu wa biashara ya vitunguu kabla ya kuingia huko manake kuna wanaotoka kapa pia.

Narudia kusema tena, tokea nimeanza kilimo cha vitunguu sijawahi uza gunia langu chini ya tshs 85,000/= hata mwaka huu ambao umekua kilio kwa watu wengi.

Tupige kazi na kuachana na maneno ya vijiweni.

IMG_1365.JPG
IMG_1369.JPG
 
Back
Top Bottom