Kilometa za Magari yanayouzwa bongo zina uhalali?

Unajua nilkuwa naogopa security ya pesa kuagiza direct lakini ni bora hvy kuliko kutumia hawa agents wa ndani.ni wazinguaji mno na wengi wao ni waongo
Shughuli ni hapo kwny kurudisha pesa naona hawa jamaa watanisumbua sana na ctokubali kuchukua hiyo gari hata iweje
 
Fahari motors...wapo Mwenge na Dodoma
Dah pole sana mkuu hao jamaa wamejipanga wapo kama wa4 pale kwa kakobe michezo yao kwenye magari ni michafu sana, wananunua gari zinakaribia km 300,000 kwa bei sawa na bure, halafu zinakuja bongo wanazipiga polish waxing na kushusha kilometa, wanachora chora zile chaki kwenye vioo ukienda unakubali gari imeshuka jana kwenye meli. Washtaki tuu
 
Ndo hao hao fahari motors?.....mm ctomaliza pesa kwa gari ambayo cjaipenda so tutasumbuana sana tuu na wala cna haraka na gari
 
Gari lazima ununue toka Japan na wanakupa kitu kama hiki hapo chini
 

Attachments

[emoji28][emoji28][emoji28]...Kaka 14Milion ni nyingi mno na hapo bado nyingne ya kumalizia gari ikifika
Daah pole sana, wewe hata hamna cha kuwazia hapo hasara watakula wao wakileta ujuaji, sema kwako watakupotezea muda tu ndio hasara kubwa kwako, ila io gari inabidi uondoke nayo bila kuongeza hata mia wakigoma waue mahakamani ikiwezekana uitishe na press kabisa uwachafulie kampuni ushahidi si upo nje nje kabisa. [emoji3][emoji3]
 
Kabsa mkuu..Kila wakipost biashara yao naenda kuwaumbua kwny page yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…