Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

Tani 2? Yaani kilo 2000 duuh! [emoji87]
 
Hao mapaka wanakuwaga na roho ngumu sana

Ova
Wanatuona sisi makoro tumezungukwa na kila kitu harafu bado masikini yupo mpakistani mmoja alipelekewa range Rover ya kisasa ya wizi hapo Pretoria miaka kadhaa iliyopita wezi wakiwa wanamsubiri awape pesa hakurudi tena alitoka mazima mpaka DRC kongo akaiuza akapata mtaji akaja kulipa mwaka ila ana yard kubwa ya gari za Japan Congo nilicheka sana nilipoambiwa...
 
duh wote huo si kuuana na kupunguza nguvu kazi za taifa. Jela maisha inawahusu
 
Kwenye madawa binamu tuwe wakweli magufuli alipaweza sana,

Sasa hiv wameshaanza kujitutumia hata magu hajaoza. Ipo sku watanzania tutakaa tutalia na kusaga meno tukitaman magu afufuke ila haiwezekani, hii ni trailer tu

Wanasema magu aliku dictator lakin Naona udikteta wake ulikua na manufaa sana nchi ilikua na ustaarabu na adabu
 
Wadau huu mzigo mkubwa mnoooooo mnooooooooo
Nashangaa kwanini wameusafirisha ki local kiasi hicho yaani tani 2 za heroine au cocaine usafirishe kindezi hivyo?

Hao jamaa wanaujasiri na roho ngumu sana aisee yaani wamerisk maisha yao dadeq zao hao wapakistan!

Anyway tani mbili ni dharau kwa nchi yetu hao pimbi hao!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We nawe husomeki paragraph ya kwanza zaidi ya tani 2, paragraph ya pili zaidi ya tani Moja! Au ndio KIKI NI KIKIKI KIKIKI za kisiasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…