Kim Jong-Un aagiza muuza filamu kupigwa risasi hadharani

Kim kama Kim... Huyo alimuua ndugu yake akiwa exile, sembuse kijamaa cha mtaani tu!? 🙄 Yule ni kilaza tu!
 
Bora ya hayo yenye kushuhudiwa na sabababu zikatolewa, kuliko haya yanayofanywa na wasio julikana kwa sababu zisizo julikana.

Yanayotokea kwetu yanaumiza kuliko, maaa yanafanyika kimyakimya na kuacha majonzi na simanzi kwa wanafamilia.

Dunia ya Kwanza wameaddrees sheria na taratibu kwa uwazi na mwenyekwenda kinyume anajuwa kitakacho mkuta bila kificho, huku kwetu tunahubiri utawala bora wa sheria na katiba huku tukidhulumu haki kwa mwenye kutumia hakiyake kikatiba, huu ni uonevu wa wazi.

Siku chache nyuma TRA wamefungua account za wafanya biashara, Y waliwafungia an Y wanawafungulia!!
Juzi Migration officers wametoa adhabu kwa muhalifu kinyume na utaratibu wa kisheria, yaani mtu anakosea tena mbele ya taasisi yenye watu makini wenye kujuwa taratibu za kisheria ila wanaamua tu Kwa utashi wao adhabu ya kumpa.

Na mimi Kesho nikimkamata muhalifu wangu nikaamua kumfanya vibaya mtanilaumu!!

Tunaongozwa kikatiba, tuishi kikatiba Kwa kufuata sheria na taratibu bila kubaguwana ili tuishi katika haki na usawa
 
Hao wananchi ni mateka kabisa, anafanya hayo kwa faida ya nani?
 
Jamanii na Familia yake wakauliwa aisee kumbe bora Tanzania huko kwingine ni kugumu zaidi kuishi
Halafu utakuta baadhi ya Watanzania wanamsifia kiduku eti kiboko ya Marekani! Yaani unautoa uhai wa mwenzio kirahisi namna hii?
 
Duh,na mijananchi ya huko imekaa tu hata haindamani kupinga,yaani uhai uondokw kwa kosa la hivyo kweli,huyo dogo ni zaidi ya sheitwan aisee
Huko kwenu mliandamana ilipokuwa inaokotwa miili ya watu kwenye viroba!!???
 
Jambo moja ambalo nna uhakika nalo: mwisho wa madikteta huwa ni mbaya, huondoka kwa aibu na kuziacha familia zao na fedheha.
 
North Korea ni jehenam !!
 
Mbona unasema ameuwawa pamoja na familia yake? Nanukuu "MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Lee, ameuawa kwa kufyatuliwa risasi pamoja na familia yake huko Wonsan Korea ya Kaskazini" Wakati umequote kuwa familia yake ililazimishwa kuangalia mauaji yake ikiwa mstari wa mbele "His family were forced to stand in the front row of the crowd of 500 people to see the execution in Wonsan, Gangwon province - 40 days after he was arrested".
 
Ila huyu dogo sijui kwa nini hafi? Anawatesa sana wananchi wake!!!
 
Jamanii na Familia yake wakauliwa aisee kumbe bora Tanzania huko kwingine ni kugumu zaidi kuishi
Familia haijauwawa, walisimama kushuhudia!
Jamaa katafsili tofaut kidogo.
Huko Korea ni balaa na shetani anajaa hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…