Kimaandiko, baada ya Mungu, wazazi wanafuata, Kisha mume/mke

Yesu ni Mungu Kwa Mariam,

Alimuheagimu tu kimwili.

Mungu ni MMOJA.

Mzazi ni muungu wa Dunia Kwa nafasi aliyopewa kuzaa.

Wewe pia ni muungu, hujasoma maandiko BIBLIA inasema Ninyi miungu?
Musa aliitwa muungu Kwa haruni na haruni akawa Nabii.
 
Apendaye baba na mama kuliko Mimi hanistahili,

Hiyo haimaanishi kuwapa Heshima.

Mfano watumishi wa Mungu ni wazazi kiroho sasa kuwapenda na kuwashimu ni vyema.

hao wazazi wa kiroho ni kuwa makini nao sana! wengi ni matapeli tu. kuzaa kiroho ni jambo kubwa sio paaa paaaaa
 
Kuna mtu ameitambulisha familia yake majuzi humu, ukiwatazama watoto copyright na shemeji
Labda shem alipita mgongoni, mtoto tumboni akakopi sura kama kinyonga.
 
Labda shem alipita mgongoni, mtoto tumboni akakopi sura kama kinyonga.
Kama huyo mke ni design hii
 
Yesu ni Mungu Kwa Mariam,

Alimuheagimu tu kimwili.

Mungu ni MMOJA.

Mzazi ni muungu wa Dunia Kwa nafasi aliyopewa kuzaa.

Wewe pia ni muungu, hujasoma maandiko BIBLIA inasema Ninyi miungu?
Musa aliitwa muungu Kwa haruni na haruni akawa Nabii.
Basi watu wote duniani ni miungu maana aliye kuzaa wewe ni mungu wako na wewe ni mungu kwa utakaye mzaa very stupid no sense shit ...sasa miungu watatupwa jehanamu faida ya huo uungu ni gani ?
 
Haya mambo umeyatoa wapi? Tunaomba rejeo.
 
Basi watu wote duniani ni miungu maana aliye kuzaa wewe ni mungu wako na wewe ni mungu kwa utakaye mzaa very stupid no sense shit ...sasa miungu watatupwa jehanamu faida ya huo uungu ni gani ?
Uungu wa mwanadamu ni Ile Roho yake.

Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Ndipo ulipo uungu wa mwanadamu. Mungu anabaki kuwa mmoja.
 
Uungu wa mwanadamu ni Ile Roho yake.

Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Ndipo ulipo uungu wa mwanadamu. Mungu anabaki kuwa mmoja.
Hayo mafundisho ya kipumbavu umeyatoa wapi πŸ™„πŸ™„πŸ™„βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹maana hakuna mungu zaidi ya mungu mmoja na kitu cha pili chenye utukufu ni utakatifu na cha tatu ni thawabu hivyo ndiyo vitu vinavyo mpatia mtu daraja la juu au la chini kati ya madaraja mema siyo mambo ya kudinyana na kupeana mimba yani kahaba afanye ufuksa ili apate mimba kisha apewe uungu na Mungu kwa sababu ya kuzaa... your very stupid
 
Waheshimu baba na mama Yako, siku zako zikawe nyingi katika Nchi upewayo na BWANA Mungu wako.

Ni Amri ya Mungu ni erejea hiyo.
Heshima na mamalaka viko sawa? Umeongelea mamlaka unanipa rejeo la heshima!!
 
Maoni Yako ya kiwango hafifu na yaheshimiwe.
 
Maoni Yako ya kiwango hafifu na yaheshimiwe.
Wanawake akili zenu huwa ndogo sana sishangai ..ndiyo maana kila anaye jihita mtume kwenu ni mtume kweli akili hamna kabisa vichwani
 
Wanawake akili zenu huwa ndogo sana sishangai ..ndiyo maana kila anaye jihita mtume kwenu ni mtume kweli akili hamna kabisa vichwani
Leo unanitukana ndugu,

Nitake radhi.
 
Ushauri wa kimamlaka waujua?
Hakuna haja ya kuzunguka, nieleze huo ushauri wa kimamlaka upoje na unahusiana nini na heshima.

Niko tayari kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…