Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kitapita pia labda sisi wa Pwani
Kwa mara ya kwanza umecoment bila kuweka siasaSpidi take inapungua hivyo madhara yanaweza yasiwe makubwa iwapo kitafika pwani ya Dar-es-Salaam na Zanzibar.
Hiki kimbunga hakitafika bongo kwa jina la Yesu Kristo
Kwa mara ya kwanza umecoment bila kuweka siasa
Corona pia mlisema hivyoHiki kimbunga hakitafika bongo kwa jina la Yesu Kristo
Kwani hilo ndilo gharika la kimbunga Jobo?Wabunge wa CCM ndio kwanza wameanza kudanganya umma
1. Serikali haikufungia biashara za MBOWE, je Bilicanas ilivunjwa kwa amri ya Nani?
Tanzania daima ilifungiwa kwa amri ya Nani?
Mashamba kule Hai yaliharibiwa na Nani?
2. Eti ofisi ya Bunge haikupata barua ya kufutwa uanachama wa kina Mzee Halima Mdee