MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Huku athari za Kimbunga hicho 'Jobu' zikiwa zimeanza huko Mkoani Mbeya kwa Mvua Kubwa na yenye Upepo Mkali kunyesha mpaka Kuharibu barabara kwa 'Kuitenganisha' na nchi ya Malawi.
Akiongea na BBC Dira ya Dunia muda si mrefu Afisa wa Kituo cha Hali ya Hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Ndugu Samuel Mbuya aliyekuwa akizungumza na Mtangazaji Regina Mziwanda kasema Siku ya Jumapili tutegemee 'Maafa' makubwa Mikoa ya Dar es Salaam na Mafia japo Mikoa ya Mtwara na Lindi pia wanaweza Kukumbana nayo.
Ndugu Samuel Mbuya amesema hivi sasa Kimbunga hicho kipo umbali wa Kilimeta 236 kutokea Mafia na kwamba Siku ya Jumapili ndiyo 'Kitapiga' rasmi Mkoani Dar es Salaam kikiambatana na Mvua Kubwa sana na Upepo Mkali mno.
Taarifa ambazo Generalist nimezipata hivi punde tu ni kwamba tayari Balozi kadhaa nchini Tanzania zimewaonya Wafanyakazi wako kuchukua 'Tahadhari' zote cha Kimbunga hicho 'Jobu' ambacho hakijawahi kutokea nchini Tanzania ndani ya miaka 70.
Haya kila mwana JF achukue tahadhari.