MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kwa Mujibu wa Mtaalam Ndugu Samuel Mbuya ( na siyo Mswahili na Mbishi ) Wewe kasema hiki cha sasa kitakuwa na Athari Kubwa mno kutokana na anavyokiona katika Mitambo yao na hakijawahi kutokea nchini Tanzania tokea Miaka 70 iliyopita.Tanzania tupo position ambayo hata vimbunga vikali vinavyotokea baharini vikipiga madhara yanakuwa wastani.
Madagascar kimbunga kikitokea wao hawajafichwa na sehemu yoyote madhara hiwa makubwa.
Muwe mnasikiliza Redio au Kutizama Runinga au hata kuwa Wafuatiliaji wa Habari za dunia kuliko Kubobea katika Umbea wenu, Majungu na Upuuzi. Unaleta Mazoea na upo Kinadharia zaidi wakati Wenzako wako Kitaalam na Kiubobezi.
Na hata muda huu huu Mama Kijazi wa TMA nae ameonya na kusema tuchukue tahadhari kwani kitakuwa cha Hatari na Kitaleta madhara makubwa mno. Generalist naamini sana Wataalam ( hasa hasa Wanasayansi ) hawa na siyo Mswahili Mmoja Wewe.