Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

Nimesema ( nimeandika ) kipo sasa Umbali wa Kilometa 236 kutokea Pwani ya Mafia ( kwa Mujibu wake Mtaalam huyo wa TMA Ndugu Samuel Mbuya ) je, ni wapi nimeandika ( nimesema ) kipo Umbali wa Kilometa 60 ambazo umenizushia Wewe hapa? Pumbavu!!
You are too shallow
 
Kutahadharisha tu ni kama kusema kuwa angalieni picha za HIV inavyomkondesha na hatimae kumuua mgonjwa.
Sijui ni ufahamu mdogo sijui wanatumiwa!I believe they are agents of the devil.Message ya picha hizi ni,"look at what is about to befall you," It's bad.
 
View attachment 1761850

Hii ni Storm Surge ya Tufani dogo tu hebu cheki tuchukueni tahadhari
Nina Rafiki zangu Wawili ni Wavuvi wameondoka usiku huu kwenda 'deep Sea' kuvua Samaki wakubwa na huwa wanakaa huko Majini ( Baharini ) hata Wiki nzima

Hivyo basi kwa hii Picha yako na haya Maelezo yenu ya Kitaalam kuhusu "Storm Surge' na tumeambiwa Kimbunga Jobo 'Kitapiga' Jumapili mpaka Jumatatu kikitokea huko huko Baharini walipo sasa huenda Mawimbi Makali 'yakawazika' huko huko na Nguo zao tu zitaelea kuja Pwani na kuwa Kumbukumbu Kwetu na kwa wana Familia wao.
 
Mawimbi ya Kimbunga huwa yanazamisha hadi Meli kubwa kabisa sembuse ngalawa ya Wavuvi hao watafia huko.
 
Nimesema ( nimeandika ) kipo sasa Umbali wa Kilometa 236 kutokea Pwani ya Mafia ( kwa Mujibu wake Mtaalam huyo wa TMA Ndugu Samuel Mbuya ) je, ni wapi nimeandika ( nimesema ) kipo Umbali wa Kilometa 60 ambazo umenizushia Wewe hapa? Pumbavu!!
Wind itakuja na speed ya 120 km kwa saa mpk pwani Kisha itabadilika speed itakuwa 60 km kwa saa..madhara yake yapo you can imagine speed ya gari ikiwa 60 Sasa ndo upepo mzee
 
Huna unachokijua kwani huna Utaalam.
 
Kingetegea siku ya Bunge kikapita ile mitaa ya Dodoma sijui ingekuaje, nchi ingepata hasara, mara kingezoa supika wetu kwakweli Mungu atuepushe wabunge wetu tunawapenda kimbunga jobo kisiwazoe maana wanatutetea siku mojamoja wakiamka vizuri
 
Kwanza lile joho la Jobu Supika angebebwa fasta na kutupwa Bagamoyo kwenye eneo analotaka kuwapa Wachina
 
Back
Top Bottom