Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

Kwa Mujibu wa Mtaalam Ndugu Samuel Mbuya ( na siyo Mswahili na Mbishi ) Wewe kasema hiki cha sasa kitakuwa na Athari Kubwa mno kutokana na anavyokiona katika Mitambo yao na hakijawahi kutokea nchini Tanzania tokea Miaka 70 iliyopita.

Muwe mnasikiliza Redio au Kutizama Runinga au hata kuwa Wafuatiliaji wa Habari za dunia kuliko Kubobea katika Umbea wenu, Majungu na Upuuzi. Unaleta Mazoea na upo Kinadharia zaidi wakati Wenzako wako Kitaalam na Kiubobezi.

Na hata muda huu huu Mama Kijazi wa TMA nae ameonya na kusema tuchukue tahadhari kwani kitakuwa cha Hatari na Kitaleta madhara makubwa mno. Generalist naamini sana Wataalam ( hasa hasa Wanasayansi ) hawa na siyo Mswahili Mmoja Wewe.
Mwenyewe ka-google tu, hana utaalam wowote.
 
Sikujua kuwa kumbe hata Wewe ni 'Empty Set' kiasi hiki. Kitaalam ( hasa Kijiografia ) kwa Mujibu wake Ndugu Samuel Mbuya wa TMA kasema kwamba hata kama Kimbunga kitakuwa Pwani ya nchi ila huwa kinapeleka madhara maeneo mengine ya nchi na Mikoa ambayo huwa ni 'Mhanga' mara nyingi huwa ni ya Mbeya, Rukwa na Iringa.

Na hii ni kutokana na Mgandamizo mkubwa kutokea Usawa wa Bahari kuelekea katika Misitu ya Kongo ( Congo ) ambayo Kijiografia pia huwa ni chanzo cha kutokea kwa Mvua Kubwa katika nchi jirani nae.
Itakua ni wewe mwenyewe, make unajiita sana mtaalam.
 
Kwa jinsi huyu Mtaalam wa TMA Ndugu Samuel Mbuya anavyoongea inaonyesha huenda Mkoa wa Dar es Salaam hiyo Jumapili ukawa na Maafa makubwa.

Na kilichonishtua na hata 'Kuniogopesha' zaidi ni kwamba Mtaalam huyo alisema Tanzania kwa zaidi ya Miaka 70 iliyopita haijawaji Kukumbwa na Kimbunga kama hiki Jobu na kila Mara akisisitiza Watu Kuchukua tahadhari.
Mwaka gani kilitokea?
 
Kwa Mujibu wa Mtaalam Ndugu Samuel Mbuya ( na siyo Mswahili na Mbishi ) Wewe kasema hiki cha sasa kitakuwa na Athari Kubwa mno kutokana na anavyokiona katika Mitambo yao na hakijawahi kutokea nchini Tanzania tokea Miaka 70 iliyopita.

Muwe mnasikiliza Redio au Kutizama Runinga au hata kuwa Wafuatiliaji wa Habari za dunia kuliko Kubobea katika Umbea wenu, Majungu na Upuuzi. Unaleta Mazoea na upo Kinadharia zaidi wakati Wenzako wako Kitaalam na Kiubobezi.

Na hata muda huu huu Mama Kijazi wa TMA nae ameonya na kusema tuchukue tahadhari kwani kitakuwa cha Hatari na Kitaleta madhara makubwa mno. Generalist naamini sana Wataalam ( hasa hasa Wanasayansi ) hawa na
Msimpe sifa azizostahili.huyo hata hakujenga airport Dodoma,kajenga Chato.
Hapo ndipo napoona Mwendazake alikuwa na maono akahamishia ofisi zote Dodoma
 
Kimbunga(Hurricane)Jobo kinatokea Madagascar na kitapiga hodi maeneo ya Pwani ya Zanzibar na Daresalaam.Hiyo ni kudra ya Mwenyezi Mungu.Isitoshe ni kutokana na Tabia Nchi (Climate Change).Hao wendawazimu wanaodai kuna mtu kapatia kuhamia Dodoma hajui lolote.Hii Tabia nchi pia inaleta ukame wa ajabu.Ndani ya miaka michache Huko makao makuu kutatokea Ukame ambao haujawahi kutokea nchini,na Ardhi yake kugeuka Jangwa.Viongozi Duniani wanajadiliana kuhusu suala hilo.Sijui kiongozi gani anatuwakilisha.Its very Important.
 
Mimi ningekuwa Daslam hasa eneo la bondeni ningeenda hata Morogoro kesho mpaka kimbunga kipite. kimbunga ni hatari sana.Kama nyumba zilizojengwa kwa viwango bora huko USA, Japan havihimili kimbunga Je hapa Tanzania itakuwaje?

USA wanajenga kwa mbao tu na sometimes kwa Alluminum na viyooo sio kwa matofali kama huku!
Hii kimbunga wala haita haribu chochote katika la Mungu wetu aliyutuvusha kwa corona nk
 
Kwa Mujibu wa Mtaalam Ndugu Samuel Mbuya ( na siyo Mswahili na Mbishi ) Wewe kasema hiki cha sasa kitakuwa na Athari Kubwa mno kutokana na anavyokiona katika Mitambo yao na hakijawahi kutokea nchini Tanzania tokea Miaka 70 iliyopita.

Muwe mnasikiliza Redio au Kutizama Runinga au hata kuwa Wafuatiliaji wa Habari za dunia kuliko Kubobea katika Umbea wenu, Majungu na Upuuzi. Unaleta Mazoea na upo Kinadharia zaidi wakati Wenzako wako Kitaalam na Kiubobezi.

Na hata muda huu huu Mama Kijazi wa TMA nae ameonya na kusema tuchukue tahadhari kwani kitakuwa cha Hatari na Kitaleta madhara makubwa mno. Generalist naamini sana Wataalam ( hasa hasa Wanasayansi ) hawa na siyo Mswahili Mmoja Wewe.
Mkuu vyombo vya habari huwa vinaongeza presha Sana. Mimi sipo kinadharia naongelea kwa uzoefu wa baharini. Hivyo vimbunga baharini vipo Sana na kwa upande wa Pacific ndio balaa.

Ni majina sisi huku Indian Ocean tunaita tropical cyclone, America kaskazini wao huita Hurricane, wengine huita typhoon au cyclone. Hao watalaamu uliowataja wao ndio wapo kinadharia hawajawai kumbana nacho baharini. Mbobezi wa meteorology ya bahari ni Captain Mlesa.

Hizo tropical cyclone zipo hii ingawa imetabiriwa kuwa kubwa. Kwa baharini meli hata tropical cyclone iwe na ukubwa kiasi gani safari uendelea kwa tahadhari kubwa kwa kubadili uelekeo kupishana na kitovu Cha kimbunga.

Dalili nyepesi ya kuwepo kimbunga ni wingu kuwa jeupe na bluu kama manyoya na baharini kuna kuwa na viwimbi vidogo kama matuta mafuta(swell) siku 3 mpaka 7 kabla ya kimbunga kutokea.
 
Mimi ningekuwa Daslam hasa eneo la bondeni ningeenda hata Morogoro kesho mpaka kimbunga kipite. kimbunga ni hatari sana.Kama nyumba zilizojengwa kwa viwango bora huko USA, Japan havihimili kimbunga Je hapa Tanzania itakuwaje?
US nyumba zao huwa ni za mbao, sijajua kwa Japan ila naamini nao pia itakuwa kwa sababu ni sehemu prone kwa matetemeko ya ardhi ya mara kwa mara...
 
Kama nawaona Tanesco watavyo kata umeme kabla hata hilo bogi halijatua...
 
Huku athari za Kimbunga hicho 'Jobu' zikiwa zimeanza huko Mkoani Mbeya kwa Mvua Kubwa na yenye Upepo Mkali kunyesha mpaka Kuharibu barabara kwa 'Kuitenganisha' na nchi ya Malawi.

Akiongea na BBC Dira ya Dunia muda si mrefu Afisa wa Kituo cha Hali ya Hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Ndugu Samuel Mbuya aliyekuwa akizungumza na Mtangazaji Regina Mziwanda kasema Siku ya Jumapili tutegemee 'Maafa' makubwa Mikoa ya Dar es Salaam na Mafia japo Mikoa ya Mtwara na Lindi pia wanaweza Kukumbana nayo.

Ndugu Samuel Mbuya amesema hivi sasa Kimbunga hicho kipo umbali wa Kilimeta 236 kutokea Mafia na kwamba Siku ya Jumapili ndiyo 'Kitapiga' rasmi Mkoani Dar es Salaam kikiambatana na Mvua Kubwa sana na Upepo Mkali mno.

Taarifa ambazo Generalist nimezipata hivi punde tu ni kwamba tayari Balozi kadhaa nchini Tanzania zimewaonya Wafanyakazi wako kuchukua 'Tahadhari' zote cha Kimbunga hicho 'Jobu' ambacho hakijawahi kutokea nchini Tanzania ndani ya miaka 70.

Haya kila mwana JF achukue tahadhari.
Anatoka bungeni kuja kutafuta nini huko🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom