Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

South Afrika kila machokoraa wanakimbilia huko , nchi ilikuwa nzuri ila leo hii ni dumping ground ya kila takataka ,kuna wabongo na watu toka west Africa ni vibaka na wauza unga huko waliokubuhu .
Legal entry kwenye nchi ni lazima , otherwise kila takataka itaingia na kusababisha nchi kuwa shithole kama South Afrika ilivyo leo
 
Muwe mnafanyia utafiti agenda za vijiweni, South Africa uchumi asilimia zaidi ya 95% kushikiria mkabulu; yaani ni ukoloni mamboleo + matusi ya nguoni + kibao usoni
Na sisi ambao uchumi 100% kashikilia mtu mweusi kuna nini cha maana kinachofanyika mkuu? Pamoja na huo uchumi kuwa chini ya makabulu lkn bado watu weusi wa nchi nyingine wanakimbilia huko huko kila kukicha.
 
Huyo mtaalamu wa mikumi anaonekana staa sana🤣 maana waumini wengi wa mahakama zetu za jadi hawaishi kutoa reference.
 
Na sisi ambao uchumi 100% kashikilia mtu mweusi kuna nini cha maana kinachofanyika mkuu? Pamoja na huo uchumi kuwa chini ya makabulu lkn bado watu weusi wa nchi nyingine wanakimbilia huko huko kila kukicha.
Uchumi wa Bongo kashikilia Muarabu na Muhindi...
 
Hata wewe ni mbaguzi ,tena mbaguzi mwenye roho ya kutu kuliko hao unaowaita wabaguzi .
Bongo tu hapa mnabaguana kwa ukabila na roho mbaya

Ni kweli kwamba ninaweza kuwa mbaguzi pia, but I am always doing the Positive Discrimination, not a negative discrimination kama huo unaofanywa na watu kutoka kwenye makundi hayo niliyotaja hapa juu.
 
Umenena mkuu. Vijana wanafeli sana, wanashindwa kudili na serikali yao ya kindezi. Wanaanza kuzamia nchi za watu alafu wanategemea waonewe huruma.
 
Qumamae zao hawa wasouth. Watanzania tusikubali. Nasisi tuanze kuwaua hawa mashoga wa South. Watoto wa kino anzeni na yule.msouth anaeishi hapo Mkwajuni.
Hana docs?, tatizo la la vijana kibongo wanasafiri kizamani hawana docs wala passport...
 
Na sisi ambao uchumi 100% kashikilia mtu mweusi kuna nini cha maana kinachofanyika mkuu? Pamoja na huo uchumi kuwa chini ya makabulu lkn bado watu weusi wa nchi nyingine wanakimbilia huko huko kila kukicha.
Hapo Sasa jilaumuni nyinyi wenyewe na uongozi ambao mnauvumilia madarakani maana "those in leadership are the reflection of the people that put them up there"; Msouth kwenye zizi lake ateseke na agenda za mkaburu, afu pia ateseke na agenda za "kunguni" zilizopo madarakani afu tena mnataka ateseke na matatizo ya nchi nyingine za Afrika ambayo yanamwagika nchini kwake bila utaratibu wowote maalum
Pambaneni na hali zenu kama anavyopambana na hali yake, tofauti kubwa kati yetu na Yao ni kwamba mkoloni yupo jikoni akila nchini kwao wakati sisi walau mali nyingine zipo uvunguni (ardhini) bado hatujaliwa timing ya kuibiwa
Yaani kweli upo hapa Mheshimiwa unasifia watanzania wenzako wanaoenda kwenye nchi iliyojengwa na wakoloni kuwa machingq na vibaka
 
Tumekaribisha Wachina kama wawekezaji, ila wamegeuka machinga, tujipange haswa
 
Watu weusi wa south Africa bado wana ile mentality kuwa wageni wanakuja south Africa kuchukua Ajira zao .

Zamani maiaka 1900s kuja early 2000s kwenda south ilikuwa ni ndoto ya vijana wengi hustler.
ni kweli wanachukua nafasi za ajira za hao wazawa ingawa njia ya kumpiga ndugu yetu hivyo hapana.. huo ni unyama mkamateni mpelekeni kwenye vyombo husika..
 

waithiopia wanakamatwa na vyombo vya usalama mkuu, hao wanaopiga hapo ni vyombo vya usalama? acha kutetea mambo ya kihuni, kama hafati sheria vyombo vya usalama ndivyo vilitakiwa vimtie hatiani na sio hao wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…