Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

South Afrika kila machokoraa wanakimbilia huko , nchi ilikuwa nzuri ila leo hii ni dumping ground ya kila takataka ,kuna wabongo na watu toka west Africa ni vibaka na wauza unga huko waliokubuhu .
Legal entry kwenye nchi ni lazima , otherwise kila takataka itaingia na kusababisha nchi kuwa shithole kama South Afrika ilivyo leo
 
Muwe mnafanyia utafiti agenda za vijiweni, South Africa uchumi asilimia zaidi ya 95% kushikiria mkabulu; yaani ni ukoloni mamboleo + matusi ya nguoni + kibao usoni
Na sisi ambao uchumi 100% kashikilia mtu mweusi kuna nini cha maana kinachofanyika mkuu? Pamoja na huo uchumi kuwa chini ya makabulu lkn bado watu weusi wa nchi nyingine wanakimbilia huko huko kila kukicha.
 
Kama kuna mtu anamjua huyo dogo anaepigwa njoo inbox kesi yake ipelekwe Mikumi vijijini huko kuna mtaalamu huko anaua kabisa. Jina au picha ya mchawi au dhulmati au mwonevu ikipelekwa kwake leo basi kesho anazikwa.

Wajinga wajinga kama Hawa Wasenge walio kuwa wanampiga huyu MTZ hawastahili kuishi duniani.
Huyo mtaalamu wa mikumi anaonekana staa sana🤣 maana waumini wengi wa mahakama zetu za jadi hawaishi kutoa reference.
 
Na sisi ambao uchumi 100% kashikilia mtu mweusi kuna nini cha maana kinachofanyika mkuu? Pamoja na huo uchumi kuwa chini ya makabulu lkn bado watu weusi wa nchi nyingine wanakimbilia huko huko kila kukicha.
Uchumi wa Bongo kashikilia Muarabu na Muhindi...
 
Hata wewe ni mbaguzi ,tena mbaguzi mwenye roho ya kutu kuliko hao unaowaita wabaguzi .
Bongo tu hapa mnabaguana kwa ukabila na roho mbaya

Ni kweli kwamba ninaweza kuwa mbaguzi pia, but I am always doing the Positive Discrimination, not a negative discrimination kama huo unaofanywa na watu kutoka kwenye makundi hayo niliyotaja hapa juu.
 
Nawashangaa hawa wapuuzi ambao povu linawatoka humu , kila wananchi lazima walinde nchi yao dhidi ya wavamizi haramu ,call them xenophobic call them racists no Haki yao .
Wanashindwa kuwajibisha serikali yao ya vilaza na wezi ccm hii ,ili kutengeneza maisha bora kwa wananchi wake na kuzalisha vipato na ajira vya kutosha ,
Wanaishia kuvamia kinyemela nchi za watu na kufanya mambo ya kishenzi na kutaka kuonewa huruma .
Fvcking niggers !
Motherfvckers ,clean your house instead of tresspassing and interloping on other's houses .
Hii ni dunia nzima iwe USA ,Europe nk
Wavamizi holela ni criminals na washenzi wafurushwe
Umenena mkuu. Vijana wanafeli sana, wanashindwa kudili na serikali yao ya kindezi. Wanaanza kuzamia nchi za watu alafu wanategemea waonewe huruma.
 
Qumamae zao hawa wasouth. Watanzania tusikubali. Nasisi tuanze kuwaua hawa mashoga wa South. Watoto wa kino anzeni na yule.msouth anaeishi hapo Mkwajuni.
Hana docs?, tatizo la la vijana kibongo wanasafiri kizamani hawana docs wala passport...
 
Na sisi ambao uchumi 100% kashikilia mtu mweusi kuna nini cha maana kinachofanyika mkuu? Pamoja na huo uchumi kuwa chini ya makabulu lkn bado watu weusi wa nchi nyingine wanakimbilia huko huko kila kukicha.
Hapo Sasa jilaumuni nyinyi wenyewe na uongozi ambao mnauvumilia madarakani maana "those in leadership are the reflection of the people that put them up there"; Msouth kwenye zizi lake ateseke na agenda za mkaburu, afu pia ateseke na agenda za "kunguni" zilizopo madarakani afu tena mnataka ateseke na matatizo ya nchi nyingine za Afrika ambayo yanamwagika nchini kwake bila utaratibu wowote maalum
Pambaneni na hali zenu kama anavyopambana na hali yake, tofauti kubwa kati yetu na Yao ni kwamba mkoloni yupo jikoni akila nchini kwao wakati sisi walau mali nyingine zipo uvunguni (ardhini) bado hatujaliwa timing ya kuibiwa
Yaani kweli upo hapa Mheshimiwa unasifia watanzania wenzako wanaoenda kwenye nchi iliyojengwa na wakoloni kuwa machingq na vibaka
 
Tumekaribisha Wachina kama wawekezaji, ila wamegeuka machinga, tujipange haswa
 
Watu weusi wa south Africa bado wana ile mentality kuwa wageni wanakuja south Africa kuchukua Ajira zao .

Zamani maiaka 1900s kuja early 2000s kwenda south ilikuwa ni ndoto ya vijana wengi hustler.
ni kweli wanachukua nafasi za ajira za hao wazawa ingawa njia ya kumpiga ndugu yetu hivyo hapana.. huo ni unyama mkamateni mpelekeni kwenye vyombo husika..
 
Usitoke povu la bure ndugu bali washauri vijana wafuate taratibu wanapoingia ktk nchi za watu. Hata sisi tunawakamata sana waethiopia na kuwarudisha kwao.Tofauti yetu na wasouth ni kwamba sisi hatuwapigi wahamiaji haramu. Tunashughulika nao kisheria zaidi.

waithiopia wanakamatwa na vyombo vya usalama mkuu, hao wanaopiga hapo ni vyombo vya usalama? acha kutetea mambo ya kihuni, kama hafati sheria vyombo vya usalama ndivyo vilitakiwa vimtie hatiani na sio hao wahuni
 
Back
Top Bottom