Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

Jamii ya kusini mwa Africa wanaugua ugonjwa wa uvivu na wivu aka unyumbuphobia. Wakiondoka wageni wote hiyo nchi itakuwa ni useless uchumi utaanguka vibaya sana kwasababu wageni ndio kama oxygen huko kwao. Mefi hao.
Wageni watakaowaondoa na nchi ikafa ni wahindi, waharabu na wazungu; nyinyi Waafrika hamuhitajiki kiviile maana mkienda huko asilimia kubwa mnaishia kuwa machinga na majambazi
 
waithiopia wanakamatwa na vyombo vya usalama mkuu, hao wanaopiga hapo ni vyombo vya usalama? acha kutetea mambo ya kihuni, kama hafati sheria vyombo vya usalama ndivyo vilitakiwa vimtie hatiani na sio hao wahuni
Sasa kama vyombo vya Usalama vinazembea wafanyaje? Wawachangie nauli afu wawaridishe kistaarabu?
 
Kama sio bikra usioe
 
Nadhani tatizo sio vibali yawezekana kuna tatizo jingine, tatizo la vibari vishughulikiwa na mamlaka iweje raia aliyetoka nyumbani kwake na kipensi utadhani ameibiwa kuku aanze kupiga mtuhumiwa na hawa wengine pembeni mbona hawajakaguliwa vibali vyao na wanaongea kiswahili kabsa.
 
Wanaigeria wako wengi wanauza ngada,utapeli nk
 
Sijawahi kuwaza shida itakayonikuta Tanzania hadi niende South Africa kwa nakna yoyote ile
 
Kuna matukio mawili hapo mkuu
 
Fuuuck black South Africans, even their police are collapse, that is not how you handle illegal immigrants, the guy was almost died.
 
waithiopia wanakamatwa na vyombo vya usalama mkuu, hao wanaopiga hapo ni vyombo vya usalama? acha kutetea mambo ya kihuni, kama hafati sheria vyombo vya usalama ndivyo vilitakiwa vimtie hatiani na sio hao wahuni
Naona umekurupuka bila kusoma na kuielewa message. Soma tena ndugu. Hata hivyo kwanini uzamie ktk nchi za watu? Fuata sheria utakuwa salama.
 
Serikali ya south africa baada ya kuapata uhuru walifanya makosa kuruhusu watu kuingia hovyo nchini kwao,tatizo kama hilo liko Australia na Canada waliruhusu wahindi wamekuwa wengi kiasi huwezi amini kama upo Australia au Canada
 
Watu weusi wa south Africa bado wana ile mentality kuwa wageni wanakuja south Africa kuchukua Ajira zao .

Zamani maiaka 1900s kuja early 2000s kwenda south ilikuwa ni ndoto ya vijana wengi hustler.
Nendeni na documents, yes hao jamaa wana thinking ya tofauti but doesnt mean watu wajae tu bila mpangilio
 
Bad news uchawi wa bongo nje haufanyi kazi. Kule kuna mamlaka zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…