Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

Jamii ya kusini mwa Africa wanaugua ugonjwa wa uvivu na wivu aka unyumbuphobia. Wakiondoka wageni wote hiyo nchi itakuwa ni useless uchumi utaanguka vibaya sana kwasababu wageni ndio kama oxygen huko kwao. Mefi hao.
Wageni watakaowaondoa na nchi ikafa ni wahindi, waharabu na wazungu; nyinyi Waafrika hamuhitajiki kiviile maana mkienda huko asilimia kubwa mnaishia kuwa machinga na majambazi
 
waithiopia wanakamatwa na vyombo vya usalama mkuu, hao wanaopiga hapo ni vyombo vya usalama? acha kutetea mambo ya kihuni, kama hafati sheria vyombo vya usalama ndivyo vilitakiwa vimtie hatiani na sio hao wahuni
Sasa kama vyombo vya Usalama vinazembea wafanyaje? Wawachangie nauli afu wawaridishe kistaarabu?
 
Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.

Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini katika China Mall, jijini Johannesburg-Gauteng, umefichua takwimu za kutisha, ambapo karibu asilimia 90 ya wafanyakazi wamekutwa wakiwa ni wageni wasio na vibali vya kisheria.

Inasemekana kuwa wakati wa msako huo, wafanyakazi wengi walikimbia eneo hilo ili kuepuka kukamatwa, jambo ambalo linadhihirisha ukubwa wa tatizo la wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini.

Video: Kituo cha China Mall cha Johannesburg kimevamiwa na Polisi na Mamlaka.

Instagram: @maphepha_ndaba
View attachment 3142491

Mtanzania akichezea kichapo kutoka kwa wasauzi, mwisho wa video Watanzania wakimwambia mwenzao akimbie

Instagram: @Geoff_lea
View attachment 3142492
Kama sio bikra usioe
 
Badala ya kulialia mngefanya la maana kuwakumbusha ndugu zenu wanapoamua kuishi nchi za watu waende kuishi kihalali na wafanye kazi halali.
Zaidi ikumbusheni nchi yenu iache urasimu kwenye kuta passport, hiyo ni kati ya vitu vinasababisha watu wadoke nchini isivyo halali na hivyo kwenda kuishi isivyo halali
Nadhani tatizo sio vibali yawezekana kuna tatizo jingine, tatizo la vibari vishughulikiwa na mamlaka iweje raia aliyetoka nyumbani kwake na kipensi utadhani ameibiwa kuku aanze kupiga mtuhumiwa na hawa wengine pembeni mbona hawajakaguliwa vibali vyao na wanaongea kiswahili kabsa.
 
Japokuwa raia weusi wa Afrika ya Kusini Wana matatizo yao ya ubaguzi dhidi ya watu weusi wenzao (Xenophobia) lakini kwa upande mwingine wageni waliopo kwenye nchi hiyo nao wanapaswa watii Sheria za nchi ya wenyeji wao.
Tii sheria zao bila shuruti, Kama hautaki Basi uondoke mwenyewe kwa hiyari yako, usingoje kushurutishwa kwa kulazimishwa kutii Sheria zao. Tafuteni vibali halali vya kuishi ugenini katika nchi ya kigeni.wqnq
Wanaigeria wako wengi wanauza ngada,utapeli nk
 
Sijawahi kuwaza shida itakayonikuta Tanzania hadi niende South Africa kwa nakna yoyote ile
 
Nadhani tatizo sio vibali yawezekana kuna tatizo jingine, tatizo la vibari vishughulikiwa na mamlaka iweje raia aliyetoka nyumbani kwake na kipensi utadhani ameibiwa kuku aanze kupiga mtuhumiwa na hawa wengine pembeni mbona hawajakaguliwa vibali vyao na wanaongea kiswahili kabsa.
Kuna matukio mawili hapo mkuu
 
Fuuuck black South Africans, even their police are collapse, that is not how you handle illegal immigrants, the guy was almost died.
 
waithiopia wanakamatwa na vyombo vya usalama mkuu, hao wanaopiga hapo ni vyombo vya usalama? acha kutetea mambo ya kihuni, kama hafati sheria vyombo vya usalama ndivyo vilitakiwa vimtie hatiani na sio hao wahuni
Naona umekurupuka bila kusoma na kuielewa message. Soma tena ndugu. Hata hivyo kwanini uzamie ktk nchi za watu? Fuata sheria utakuwa salama.
 
Mnawalaumu Bure, hivi kama Watanzania mngejisikiaje kama mamilioni ya wakenya, wasudan, wasomali na wakongo wangekuwa wanamwagika tu nchini bila vibali Wala utaratibu maalum "kujitafutia"; yaani imagine kama nchi muwe na matatizo yenu afu eti mubebe na ya wengine
Serikali ya south africa baada ya kuapata uhuru walifanya makosa kuruhusu watu kuingia hovyo nchini kwao,tatizo kama hilo liko Australia na Canada waliruhusu wahindi wamekuwa wengi kiasi huwezi amini kama upo Australia au Canada
 
Watu weusi wa south Africa bado wana ile mentality kuwa wageni wanakuja south Africa kuchukua Ajira zao .

Zamani maiaka 1900s kuja early 2000s kwenda south ilikuwa ni ndoto ya vijana wengi hustler.
Nendeni na documents, yes hao jamaa wana thinking ya tofauti but doesnt mean watu wajae tu bila mpangilio
 
Kama kuna mtu anamjua huyo dogo anaepigwa njoo inbox kesi yake ipelekwe Mikumi vijijini huko kuna mtaalamu huko anaua kabisa. Jina au picha ya mchawi au dhulmati au mwonevu ikipelekwa kwake leo basi kesho anazikwa.

Wajinga wajinga kama Hawa Wasenge walio kuwa wanampiga huyu MTZ hawastahili kuishi duniani.
Bad news uchawi wa bongo nje haufanyi kazi. Kule kuna mamlaka zingine
 
Back
Top Bottom