Kimoja chali, naombeni msaada wenu kwa mliowahi kupata tatizo hili na mkalitatua

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ndio uzuri wa Jamiiforums, usirl unatupa confidence ya kuweza kuomba ushauri bila aibu.

Wakuu, kwa sasa umaridadi wangu kunako uwanja wa sita kwa sita kipindi cha Kwanza nacheza fresh ila kikiisha naweka mpira kwapani maana ni ngumu kurudi kipindi cha pili.

Mechi ya Kwanza naipania Sana lakini nikipiga danadana kwa nusu saa shughuli kwisha, na hapa naenda nusu saa maana ntapiga staili za kunihitaji nipige zoezi... Nikijoroga nilale chali ninyonywe au nikatikiwe hapo sichukui dakika 5

Chakula changu
Asubuhi chapati mbili na supu,
mchana ugali, samaki na mtindi
Usiku wali, maharage, nyama na mtindi
Matunda nakula

Umri bado sijavuka 40

Sina kitambi

Sina kisukari, presha, n.k.

Kiuchumi si haba,

Sinywi pombe na nimeacha sigara huu ni mwezi wa nane tangu nimeacha
 
Wewe ni mstaafu usijifananishe na watoto/wajukuu zako wa 20s. Usijiloge kuanza kutumia madawa utakufa kwa shindikizo la damu. Tafuta mama saizi yako ambayo mtaendana stamina na inaelewa kuwa umri huo hauwezi ukaperfom Kama uko kwenye barehe ya kwanza
 
Samhan mkuu, unapigaga nyeto??

Kama jibu n ndyo bc acha mara moja kwa maana huchangia pia tatzo hlo, tatu ukiachana na vyakula na matunda na pia kuna miti ya asili inatibu pia tatzo hlo. Nta attach na picha ya mti kama kwenu au unakoish unaptikna kwa hku unaitwa #MPANDA. Pia huongeza ulijal na kuchlewa kfka klelen endpo ukiutumia vzr.

[emoji419]Matumiz n kuchemsha na kunywa kwa nusu lita hasbuh kbla ya kula na jion kabla ya kula kwa mda wa wiki tatu.

[emoji1621][emoji1621]Thanks me later....!


 
Kama una piga punyeto ni hali ya kawaida , pia kma upo chini ya miaka 30 ni hali ya kawaida, pia kawa hauna kipato cha kukidhi mahitaji yako ni hali ya kawaida, pia kma una mwanamke kausha damu ni hali ya kawaida , na mengne mengi apa shida ipo kichwani tu wala hauna shida nyingne .
 
Wewe ni mstaafu usijifananishe na watoto/wajukuu zako wa 20s. Usijiloge kuanza kutumia madawa utakufa kwa shindikizo la damu. Tafuta mama saizi yako ambayo mtaendana stamina na inaelewa kuwa umri huo hauwezi ukaperfom Kama uko kwenye barehe ya kwanza
Hata 40 hajafikaa, Usimtishe umri bado huooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…