EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Kisukari na presha ni silent killer, kama umevipima kwa macho au kwa kusubiri dalili ni umekosea sana.Ndio uzuri wa Jamiiforums, usirl unatupa confidence ya kuweza kuomba ushauri bila aibu.
Wakuu, kwa sasa umaridadi wangu kunako uwanja wa sita kwa sita kipindi cha Kwanza nacheza fresh ila kikiisha naweka mpira kwapani maana ni ngumu kurudi kipindi cha pili.
Mechi ya Kwanza naipania Sana lakini nikipiga danadana kwa nusu saa shughuli kwisha, na hapa naenda nusu saa maana ntapiga staili za kunihitaji nipige zoezi... Nikijoroga nilale chali ninyonywe au nikatikiwe hapo sichukui dakika 5
Chakula changu
Asubuhi chapati mbili na supu,
mchana ugali, samaki na mtindi
Usiku wali, maharage, nyama na mtindi
Matunda nakula
Umri bado sijavuka 40
Sina kitambi
Sina kisukari, presha, n.k.
Kiuchumi si haba,
Sinywi pombe na nimeacha sigara huu ni mwezi wa nane tangu nimeacha
Ingia hospital ucheki na testosterone level, cheki cholesterol level na angali uzito wako pia.
Sometime hiyo hali ni ya kawaida tuu kama haijarudii rudii sana hivyo relax tuu na jiamini itapotea yenyewe.