Kimoja chali, naombeni msaada wenu kwa mliowahi kupata tatizo hili na mkalitatua

Kimoja chali, naombeni msaada wenu kwa mliowahi kupata tatizo hili na mkalitatua

Ndio uzuri wa Jamiiforums, usirl unatupa confidence ya kuweza kuomba ushauri bila aibu.

Wakuu, kwa sasa umaridadi wangu kunako uwanja wa sita kwa sita kipindi cha Kwanza nacheza fresh ila kikiisha naweka mpira kwapani maana ni ngumu kurudi kipindi cha pili.

Mechi ya Kwanza naipania Sana lakini nikipiga danadana kwa nusu saa shughuli kwisha, na hapa naenda nusu saa maana ntapiga staili za kunihitaji nipige zoezi... Nikijoroga nilale chali ninyonywe au nikatikiwe hapo sichukui dakika 5

Chakula changu
Asubuhi chapati mbili na supu,
mchana ugali, samaki na mtindi
Usiku wali, maharage, nyama na mtindi
Matunda nakula

Umri bado sijavuka 40

Sina kitambi

Sina kisukari, presha, n.k.

Kiuchumi si haba,

Sinywi pombe na nimeacha sigara huu ni mwezi wa nane tangu nimeacha
Ishi hivyo ndugu haya mengine ni ubatili na kujilisha upepo cha msingi mwezi wako naye akojoe basi
 
Samhan mkuu, unapigaga nyeto??

Kama jibu n ndyo bc acha mara moja kwa maana huchangia pia tatzo hlo, tatu ukiachana na vyakula na matunda na pia kuna miti ya asili inatibu pia tatzo hlo. Nta attach na picha ya mti kama kwenu au unakoish unaptikna kwa hku unaitwa #MPANDA. Pia huongeza ulijal na kuchlewa kfka klelen endpo ukiutumia vzr.

[emoji419]Matumiz n kuchemsha na kunywa kwa nusu lita hasbuh kbla ya kula na jion kabla ya kula kwa mda wa wiki tatu.

[emoji1621][emoji1621]Thanks me later....!


View attachment 2739998
Unachemsha majani au mizizi
 
Kama una piga punyeto ni hali ya kawaida , pia kma upo chini ya miaka 30 ni hali ya kawaida, pia kawa hauna kipato cha kukidhi mahitaji yako ni hali ya kawaida, pia kma una mwanamke kausha damu ni hali ya kawaida , na mengne mengi apa shida ipo kichwani tu wala hauna shida nyingne .
Hahahaha...
Kwamba ukimilikiwa na Ke kausha damu, ukigonga kimoja tu chali
 
Anza kukimbia kila siku jioni, pia tumia asali na karanga mbichi.

Ukiweza pia kula Viazi vitamu vya kuchemsha, tende kunywa maji mengi.

Usimwogope mwanamke pia
[emoji419][emoji419][emoji419]
1) asali na karanga mbichi
2) Tende zile za kupima kwa kilo

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Unataka kupiga vingi ili WEWE uridhike au ili umridhishe mwanamke? Kama unajaribu kumridhisha mwanamke ndugu yangu unatwanga maji kwenye kinu, hicho kimoja cha nusu saa kinatosha kabisa wala usihangaike
😂😂😂😂
 
Unachemsha majani au mizizi
Well... Kata mti wenye urefu wa nusu foot, then ukatakata vipnde vdgovdgo wastani wa nchi mbili. Kisha unachemsha maji yenye wastani wa nusu na robo lita, then utakunywa maji nusu lita kwa maana hyo robo ita evaporate wakat una chemsha na itabaki nusu lita utakunywa kutwa mara mbl morning to evening. N dawa kiboko kwa uume uliolegea, na tatzo la kukojoa mapema, hutumika kama natural viagra pia hungeza sex stamina kwa 100%.[emoji1621]View attachment 2741275
IMG_20230905_160929_698.jpg
 
Back
Top Bottom