Ndio uzuri wa Jamiiforums, usirl unatupa confidence ya kuweza kuomba ushauri bila aibu.
Wakuu, kwa sasa umaridadi wangu kunako uwanja wa sita kwa sita kipindi cha Kwanza nacheza fresh ila kikiisha naweka mpira kwapani maana ni ngumu kurudi kipindi cha pili.
Mechi ya Kwanza naipania Sana lakini nikipiga danadana kwa nusu saa shughuli kwisha, na hapa naenda nusu saa maana ntapiga staili za kunihitaji nipige zoezi... Nikijoroga nilale chali ninyonywe au nikatikiwe hapo sichukui dakika 5
Chakula changu
Asubuhi chapati mbili na supu,
mchana ugali, samaki na mtindi
Usiku wali, maharage, nyama na mtindi
Matunda nakula
Umri bado sijavuka 40
Sina kitambi
Sina kisukari, presha, n.k.
Kiuchumi si haba,
Sinywi pombe na nimeacha sigara huu ni mwezi wa nane tangu nimeacha