Kimoja chali, naombeni msaada wenu kwa mliowahi kupata tatizo hili na mkalitatua

Kisukari na presha ni silent killer, kama umevipima kwa macho au kwa kusubiri dalili ni umekosea sana.

Ingia hospital ucheki na testosterone level, cheki cholesterol level na angali uzito wako pia.

Sometime hiyo hali ni ya kawaida tuu kama haijarudii rudii sana hivyo relax tuu na jiamini itapotea yenyewe.
 
Kama round ya kwanza unakwenda dakika 30 bas hauna tatizo kubwa….ww n legendary[emoji28]

1.Tuliza akili yako

2.fanya mazoez mepesi hasa jogging

3.mwambie shemeji akusaidie kuamsha hisia

4.kama unachkua sheria mkononi acha

5.hakikisha unapata muda wa kupumzka kama nusu saa au zaid kat ya round na round…punguza papara mzee
 
🤔🤔🤔ivi unaweza jichukulia sheria mkononi viwili.????
 
Nashaangaa kila mara nasema leo vitatu ila nikimaliza kimoja tu mapaka DATA nazima kabisaa
 
Nashaangaa kila mara nasema leo vitatu ila nikimaliza kimoja tu mapaka DATA nazima kabisaa
Unataka kupiga vingi ili WEWE uridhike au ili umridhishe mwanamke? Kama unajaribu kumridhisha mwanamke ndugu yangu unatwanga maji kwenye kinu, hicho kimoja cha nusu saa kinatosha kabisa wala usihangaike
 
Jaribu kutumia tangawizi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Fanya mazoezi ya kufungua pumzi
2. Be positive to your partner
3. Mfanye mpenzi wako akuamini, ushirikiano kwenye mechi uanzia Hapa.
4. Don't deceive your emotions by pornography
5. Minimize or abstain alcohol consumption
6. Prepare your partner since the morning
7.
 
Lazima utambue kwamba

Mwanaume wa miaka 35 hana stamina kama mwanaume wa miaka 18 ama wa miaka 25.

Umri unavyozidi kwenda na performance inapungua
Umesemaje?
As you grow, stamina inaongezeka mkuu. Tofautisha stamina na kupiga bao 11. Unaweza kumuweka kimoja ila stamina ikamfanya anogewe kuliko aliyemuweka vi4.
 
Asilimia kubwa ya unachokula ni wanga
 
Umesemaje?
As you grow, stamina inaongezeka mkuu. Tofautisha stamina na kupiga bao 11. Unaweza kumuweka kimoja ila stamina ikamfanya anogewe kuliko aliyemuweka vi4.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…