Kimoja chali, naombeni msaada wenu kwa mliowahi kupata tatizo hili na mkalitatua

Huu mmea unapatikana mikoa gani?
 
Huu mmea unapatikana mikoa gani?
Kusini, i.e RUVUMA,LINDI,MTWARA sijajua kwa mikoa mingine kama unapatikana kwa maana mm n mwenyeji katika mikoa hyo mitatu. Katika mikoa hii naamin ukiutafuta kwa umakini utaupata kwa maana wakati tunatoa matibabu ya tatizo kama hlo huwa hatutumii mda mwngi kuutafuta kwakuwa unapatikana hata majumbani.Pia Unapatikana kweny vichaka vya wastani kwa maana haupendi maji mengi.. N kboko na moto katika medani za 6Γ—6. Kwa jina la utani unaitwa Shoka kutokana na umaridad wake.[emoji1621][emoji1621]
 
So kwa mtu ambaye amejichua, inatibu Moja Kwa Moja au ni kama Viagra?
 
So kwa mtu ambaye amejichua, inatibu Moja Kwa Moja au ni kama Viagra?
Kazi kuu ya huo mti ni kama ifuatavyo, ngoja nikufafanulie vizuri iwe kwa faida ya wote. Kazi zake ni kama ifuatavyo:-

[emoji419]Kuimarisha misuli ya uume uliosiyosinyaa either kama ndo ulizaliwa hvyo au ulikuwa or athari za kupiga punyeto.

[emoji419]Hutumika kama viagra vya asili kwa maana utakapo maliza kunywa tu, baada ya nusu saa utahisi tu mabadliko i.e msisimko wa hali ya juu huwa kwa wote yaani kwa mwanamke na mwanaume (Kuamsha miemko kwa wasiopenda tendo la ndoa)

[emoji419]Huongeza sex stamina(nguvu za kiume) kiasili.

[emoji419]Hutibu pia tatizo la ngiri na chango la uzazi kwa wanawake.

[emoji419]Unga wa mizizi yake mikavu husagwa na kutumika pia kupaka na kuchua kwenye dhakar (kwa wenye tatizo la maumbile madogo huongeza hadi 3 inch kwa kuchua morn to evening for 3 Weeks only)

N.B. Hutapata matokeo mazuri endapo utakuwa unafanya mapenzi huku upo kwenye dozi, unapaswa kumaliza matumizi ndipo urudi tena kimashambulizi kunako 6Γ—6.[emoji1621][emoji1621]
 
Mchepuko umekuroga chukua hatua
 
Chukua karanga mbichi nusu kilo, toa uchafu, osha vizuri, lweka kwenye chombo ,tia maji yazidi karanga, acha kwa siku tatu.

Siku ya tatu chuja ,kunywa glass asubuhi kabla hujala chochote, na jioni wakati wa kwenda kulala.

Fanya hivyo uje ulete majibu hapa, tiba mujarabu..

Isipofanya vizuri , useme nikupatie ingine..
 
Asante sana kwa elimu nzuri ya tiba asilia.
Nimesoma Uzi wako mmoja unasema unasafirisha huu mtu, usafirishaji ukoje?

Maana kufika ruvuma, sijui wapi ni mitihani.
 
Asante sana kwa elimu nzuri ya tiba asilia.
Nimesoma Uzi wako mmoja unasema unasafirisha huu mtu, usafirishaji ukoje?

Maana kufika ruvuma, sijui wapi ni mitihani.
Hapana labda utakuwa umeusoma vibaya huo uzi mkuu, hakuna pahala nlpoandika nasafirisha huu mti. Niliandika hapa na kupost huu mti uwe kwa faida ya wote, ni kama aina nyigne tu ya wema na kusaidiana kma binadamu na sio kwa maslah binafsi. Ndo maana ya kuweka huo mti hapo kila mmja afaidke na kujitibu pia.

Kama shida au una ttzo kama hlo, chakufanya fika kwenye ofsi za magari ya kusini ufanye mawasiliano nami nitakutumia.
 
Fanya yafuatayo
  1. Chukua ndizi mbivu mbili saga na blender
  2. Chukua asali mbichi changanya vijiko vya chai vinne au vitano
  3. Changana na vijiko viwili hadi vitano vya maji ya tangawizi
  4. Tia juice ya ukwaju asilia vijiko vinne au vitano
  5. Changanyia na vitunguu maji na swaumu vilivyopondwa
  6. Kunywa uji wa tetele za maboga au uji wa unga wa alizeti separately
Kunywa hiyo mixture asubuhi na jioni jioni siku mbili mfulurizo

Angalizo:
Usinywe bila kuandaa mazingira ati unategemea kuvaa manati jioni, jela itakuhusu na mimi simo
 
Dogo acha kutudhihaki

We soma vizuri hao wenye maushauri mtiririko ndo huenda hata kimoja kamili hawapigi!
wanapiga nusu, yaan kabla hawajakojoa mboo ishazima pussini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Angalau wanaokushauri kula matunda ndizi mbivu, tikitimaji nk.
Kula msosi Shiba, supu kongoro nk. πŸ’ͺ

Hao wanaokushauri kula viungo vya pilau .......πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unachemsha majani au mizizi
Kutegemea madawa sio jambo zuri inakufanya kuwa tegemezi sio tiba ni bora kutegemea lishe

Kitu kingine hakija zungumzwa hapa ufanyaji wa tendo mida ya asubuhi kuna ongeza hamu ya mwanaume kupenda zaidi tendo
 
Mbn upo vzr tu kiongoz, km round ya kwanza unapiga kwa nusu saa that's enough usitake upige km Punda [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa k vant ukiwa na game, utarudi kunishukuru
 
Huna tatizo jiamini.

Jambo la msingi jaribu kuli extend bao liwe la dakika 45 hadi one hour. Ila hapo panahitaji pumzi na mazoezi ya kiuno vinginevyo maumivu yake si mchezo baada ya mechi. Hakuna sheria ya bao 2 mpaka 3 ila hakikisha mtu wako anafika na wewe pia.

Na mara nyingi kutokurudi tena kwenye tendo hutokea kwa wale tunaolala nao kitanda kimoja kila siku . Lakini ukipiga mechi za kirafiki huko unaweza enda hata mara 5 mpaka ukajishangaa.

Hilo unalopitia ni la kawaida kabisa kama ni mwanamke ambaye mko karibu sana kila siku.
 
Cut out sugar and carbs,hayo machapati Na wali tupia kule pia ucpende Kula ucku chakula Kizito ikiwezekana Kula tu matunda esp:watermelon .Halafu punguza frequence YA ulaji weka interval ya 8hrs baada ya mlo mmoja jitahd chai kunywa Saa nne asubuh,lengo Ni kucheza Na insulin maana inaleta shida pia kwenye sex hormone i.e testosterone Kwa mwanaume fanya pia Kegel exercises kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…