Kimoja chali, naombeni msaada wenu kwa mliowahi kupata tatizo hili na mkalitatua

Doh[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Make kwanza ncheke


Anyway Kuna kitu inaitwa honeymoon niliona kkoo inauzwa 45000 itafute
 
Hakikisha unaruka kichurachura angalau round 10 kuzunguka kitanda kabla ya show
 

Mosi
Saikolojia ndio tatizo kubwa na kwenye issue hii
Kwa jinsi ulivyo andika tayari umekwisha litengeneza tatizo kichwani mwako
Relax upo sawa mkuu

Pili
Majukumu yakiwa mengi huwa inasababisha hali hiyo
Jitahidi kupata muda wa kupumzika na kuburudisha nafsi yako, sio lazima uzagamue kila siku

Tatu
Pilau na kujichukulia sheria mkononi
Kuangalia sana pilau na kujichulia sheria mkononi kunasababisha hali hiyo pia

Nne
Umri nao uzingatiwe kadiri unavyokua mwili wote huwa unapunguza uwezo wake ikiwemo hiyo nyanja
Kama una 35 huwezi kuperform kama mwenye 18-25

Tano
Hakikisha unakunywa maji angalau lita mbili kwa siku kidogo kidogo kuanzia asbh hadi usiku
Punguza ulaji wa nyama(supu) mafuta (rosti) sukari (chai)
Asbh gonga mayai au viazi vitamu chai ya tangawizi na asali
Mchana mboga samaki na mbogamboga kwa wingi
Usiku wali kidogo maharagwe mwngii na parachichi au ndizi
Na juice fresh(sio ya dukani)

Mwisho
Mazoezi ni muhimu sana sana sana
Hakikisha kila siku asbh unatoka jasho walau kwa dk 10
Kichura chura, ruka kamba, kimbia zunguka nyuma au sebule, push up nk nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…