Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Kwa hili hata mi nakuunga mkono, piga chini marioo.. mwanaume anatakiwa kuwa mpambanaji na hata unapom support iwe unaona kabisa raman zake zinaeleweka na progress inaonekana

😅😅
msipende kutulaumu bure aseeee,,,mtu unasema ngoj nimshike mkono mwenzangu,, kumbe hio unayomshika mkono anaenda kuhonga mbele 😆😆 woooiii
 
sio huku tanzania wanamke wa ccm walivyo vyura kiziwi
 
Kabisa tamaa za muda mfupi zinawacost
Uongo kiswahili uzuri Hivyo vitu tunavijua vizuri kuwa Nyota njema huonekana asubuhi sio jioni hao nyota mbaya asubuhi na kuwa nyota njema jioni wachache sana kama huyo Taiwo

Bahati ya Taiwo sio ndio ya wanawake wote wailaloe mlango wazi kuolewa na malofa

Lofa akatafute lofa mwenzio wakaoane mbona malofa wa kiume na kike mbona wako wengi tu wakaone wenyewe huko ili.kutoleta sintofahamu mbele ya safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…