Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
πππππππ JamaniiiiiNimeandika nini tena Mtarajiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππ JamaniiiiiNimeandika nini tena Mtarajiwa?
π€£π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23] Hata hii mtaizoe tyuu!! Mimi nimeichoka, au km vipi nipe picha yako niweke.
Ms R asione hii πHakunaga fomyula....
Kuwa masikini leo haina guarantee kwamba huko mbele ya safari utapambazukiwa. Na kumfanya mtu abaki na wewe kisa eti una potential ya kufanikiwa huko mbele ni ndoto za alinacha. Pia kuwa na pesa leo haina maana kwamba huko mbele hutaishiwa. Bila misingi sahihi hapa mwanzoni, yote ni kazi bure!
Tafuta mtu muwe marafiki na washikaji. Mpeane furaha katika kidogo chenu mlichonacho ili huko mbele hata mkija kupata pia mbakie hivyo. Vinginevyo ni yale yale. Binti wa watu anahangaika na furushi masikini, likipata tu vihela hilo linamuona hafai linakwenda kutafuta wengine na kumsahau huyu waliyesota pamoja.
Kila mtu na afate guts na hisia zake...and no regrets please!
Nini? π€π€π€πππππππ Jamaniiiii
Mm sina mtoto mpaka sasa labla unizalie ww love πUlizaa naye? Kwani ilikuwaje kuwaje mpk mkazinguana?
Bhana hy Pic ipo hapo tangu nmejiunga JF, na hy Pic niliipata humu humu JF kwenye jukwaa la picha enzi hizo bado sijajiunga. Yn naipenda mpaka leo na Siwez kuitoa πHahahaha ππππ,,kama ivo tu umetuwekea avatar ya namna hio sjui ungekuaje wewe
Sana mkuu...yaan hapana hapana...Vipi kulikoni kichwa kiume! je iliishawahi kukuta ?
But why furushiπHakunaga fomyula....
Kuwa masikini leo haina guarantee kwamba huko mbele ya safari utapambazukiwa. Na kumfanya mtu abaki na wewe kisa eti una potential ya kufanikiwa huko mbele ni ndoto za alinacha. Pia kuwa na pesa leo haina maana kwamba huko mbele hutaishiwa. Bila misingi sahihi hapa mwanzoni, yote ni kazi bure!
Tafuta mtu muwe marafiki na washikaji. Mpeane furaha katika kidogo chenu mlichonacho ili huko mbele hata mkija kupata pia mbakie hivyo. Vinginevyo ni yale yale. Binti wa watu anahangaika na furushi masikini, likipata tu vihela hilo linamuona hafai linakwenda kutafuta wengine na kumsahau huyu waliyesota pamoja...and the same goes to girls. Kijana wa watu anajitoa wakati binti hana kitu, siku akipata kazi au kibiashara chake kikisimama basi huyu kijana aliyehangaika naye anaonekana hafai...
Kila mtu na afate guts na hisia zake...and no regrets please!
Hua naangalia nacheka mwenyewe πBhana hy Pic ipo hapo tangu nmejiunga JF, na hy Pic niliipata humu humu JF kwenye jukwaa la picha enzi hizo bado sijajiunga. Yn naipenda mpaka leo na Siwez kuitoa π
ujue hatujasalimiana,,vipi uko poaNini? π€π€π€
Poa sanaujue hatujasalimiana,,vipi uko poa
Ngoja nkutumie PM uishi nayo πHua naangalia nacheka mwenyewe π
Pole sana aiseeSana mkuu...yaan hapana hapana...
uuuuweeeeh naogopa πππΎNgoja nkutumie PM uishi nayo π
Wanawake wana pitia maumivu sana ya mahusiano bora tuwatie moyoPole sana aisee
Nimeingia humu nikadhani nitaona kibahasha hapo juu, Kimya?uuuuweeeeh naogopa πππΎ
Bc ngoja niwe mpoleuuuuweeeeh naogopa πππΎ