Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

[emoji23][emoji23][emoji23] Hata hii mtaizoe tyuu!! Mimi nimeichoka, au km vipi nipe picha yako niweke.
🀣🀣🀣🀣
Ile nilikuwa naikubali sana halafu ilivyokaa kama Shemeji yangu amefanana nae kweli yaani
 
Hakunaga fomyula....

Kuwa masikini leo haina guarantee kwamba huko mbele ya safari utapambazukiwa. Na kumfanya mtu abaki na wewe kisa eti una potential ya kufanikiwa huko mbele ni ndoto za alinacha. Pia kuwa na pesa leo haina maana kwamba huko mbele hutaishiwa. Bila misingi sahihi hapa mwanzoni, yote ni kazi bure!

Tafuta mtu muwe marafiki na washikaji. Mpeane furaha katika kidogo chenu mlichonacho ili huko mbele hata mkija kupata pia mbakie hivyo. Vinginevyo ni yale yale. Binti wa watu anahangaika na furushi masikini, likipata tu vihela hilo linamuona hafai linakwenda kutafuta wengine na kumsahau huyu waliyesota pamoja.

Kila mtu na afate guts na hisia zake...and no regrets please!
Ms R asione hii πŸ˜‚
 
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,kama ivo tu umetuwekea avatar ya namna hio sjui ungekuaje wewe
Bhana hy Pic ipo hapo tangu nmejiunga JF, na hy Pic niliipata humu humu JF kwenye jukwaa la picha enzi hizo bado sijajiunga. Yn naipenda mpaka leo na Siwez kuitoa πŸ˜‚
 
Hakunaga fomyula....

Kuwa masikini leo haina guarantee kwamba huko mbele ya safari utapambazukiwa. Na kumfanya mtu abaki na wewe kisa eti una potential ya kufanikiwa huko mbele ni ndoto za alinacha. Pia kuwa na pesa leo haina maana kwamba huko mbele hutaishiwa. Bila misingi sahihi hapa mwanzoni, yote ni kazi bure!

Tafuta mtu muwe marafiki na washikaji. Mpeane furaha katika kidogo chenu mlichonacho ili huko mbele hata mkija kupata pia mbakie hivyo. Vinginevyo ni yale yale. Binti wa watu anahangaika na furushi masikini, likipata tu vihela hilo linamuona hafai linakwenda kutafuta wengine na kumsahau huyu waliyesota pamoja...and the same goes to girls. Kijana wa watu anajitoa wakati binti hana kitu, siku akipata kazi au kibiashara chake kikisimama basi huyu kijana aliyehangaika naye anaonekana hafai...

Kila mtu na afate guts na hisia zake...and no regrets please!
But why furushiπŸ˜‚
 
Bhana hy Pic ipo hapo tangu nmejiunga JF, na hy Pic niliipata humu humu JF kwenye jukwaa la picha enzi hizo bado sijajiunga. Yn naipenda mpaka leo na Siwez kuitoa πŸ˜‚
Hua naangalia nacheka mwenyewe πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom