Hizo za operation umeleta mwenyewe hapa pia kwanini nisiweze nasoma online na kufanya practical it's very possible kabisa.Jibu hoja acha attacking za hovyo.Unauwezo wa kufanya upasuaji kwa kusoma online hata kama ni Genius?Umesoma DNA na Genetics in general tukikuletea sample ututafutie population zenye RI and R2 ambazo haziruhusiwi kupewa dawa fulani fulani unaweza?
ooohKama umesoma mwenyewe online bila practical huna justification ya kukosoa Embryology.Ndiyo maana hakuna udaktari wa online.Kuna baadhi ya units kwenye field hazihitaji virtual learning.Ikiwa imesoma hivyo na ukahisi umeelewa ni Hallucination tu.Rudi darasani ndo uje kukejeli anomalies na variation in Human Embryology.
Madaktari uchwara tena. Siyo lazima uchukue ushauri huo. However the disease does not read the bookAcha ubishi wewe unayeamini eti vile hujaingia darasani do not limit ur knlewdge wewe eti vile nimesoma online basi sijui, [emoji2][emoji2][emoji2] madaktari uchwara mna shida kweli yani sikuhizi mbona hata meetings zinafanyikia online jiongezee maarifa
Na kuzaa je wanawahi pia? Vipi uelewa wa hao watoto?Sijui Kama no kweli Ila kusini huku lindi na mtwara mabinti wanawahi kuanza hayo mambo kwa sababu ya ugumu wa maisha Hilo ndo nalojua
Pole Dr uchwara ulitaka umpe mimba Mzee kakataa umekuja kulia JF [emoji2][emoji2]Madaktari uchwara tena. Siyo lazima uchukue ushauri huo. However the disease does not read the book
Good for you thenPole Dr uchwara ulitaka umpe mimba Mzee kakataa umekuja kulia JF [emoji2][emoji2]
Hujaelewa nadhani rudia kusomaWakizalishwa mapema wanikiona Cha mtema kuni,... waulize single mom! wakichelewa kuzaa kwakusubiri ndoa wanakiona cha moto tunawavuruga mjue
Wakizalishwa mapema wanikiona Cha mtema kuni,... waulize single mom! wakichelewa kuzaa kwakusubiri ndoa wanakiona cha moto tunawavuruga mjue
Take it or leave it. Uamuzi wakoAisee nazidi kuogopa😪, huo utafiti ni kweli mkuu?
Shemeji mbona una hasira sana na shemeji yako? Yeye ndie anawala ana uhakika wa hilo analosemaUlete. Nina uhakika 100% mnaowasema wanawake wa kaskazini, hamuishi huko....
Ugumu wa maisha inaweza kuwa ni secondary factor ya kupata watoto mapema kwa kanda ya kusini, wengi ni culture thing as a primary factor.Sijui Kama no kweli Ila kusini huku lindi na mtwara mabinti wanawahi kuanza hayo mambo kwa sababu ya ugumu wa maisha Hilo ndo nalojua
Na hapo hakuna baba wa maana kwa huyo mtoto aiseee. Yaani kimsingi baba hapo ni baba jina ila hakutakuwa na malezi ya kueleweka.Kuna bidada yupo around 35 yrs (hatuna mahusiano) ni marafiki tu kimtindo,alioniomba tuzae matunzo yote juu yake, nikatoa nje, haukupita muda nikamuona ana kitumbo huku akininyari[emoji2][emoji2]..nikajua kuna mtu huko ashapachikwa zigo.
Wengi hawatakuelewa ila huo ni ukweli mzito tena ukweli usio na kipingamizi.Ni kosa la kiufundi mwanamke kuvuka miaka 26 hujaolewa, ni mistake ya Hali ya juu ,
Sio kawaida. Nyie mnaona kawaida sababu ndio waharibifu.kaja kivingine
are you sure mheshimiwa? Mbona kawaida tu.!