Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Umasikini unasingiziwa tu. Nani alisema au alipitisha kanuni kuwa binti akizaa katika umri mdogo basi ni umasikini umesababisha? [emoji848]Mara nyingi umasikini unasababisha mabinti watiwe mimba wangali wadogo mno.... Hivyo tusijivunie hili!
Kibailojia umri sahihi wa kupata mtoto kiafya ni huo kuanzia miaka 16 na amalizie au kuchelewa sana iliyopitiliza ni 35 awe busy na malezi.
Huu mtazamo wa kusema binti akizaa miaka ya early 20s kuwa ni changizo la umasikini ni matokeo ya fikra za nyemelevu za kimagharibi ambazo hazina usambamba na asilia yetu waafrika.