"Nina elewa wengi husema wanasubiri wakati sahihi wa MUNGU"
Ujinga mwingine wa watu
Wakati wa Mungu uko determined na uwezo wako wa kutii na kujikabidhi kwenye neno la Mungu, and never defined by years...
Most of the time, wanaomngoja Mungu, actually Mungu ndo anawangoja wajikabidhi kwake......
Ninaamini ni mpango wa Mungu watu waolewe kwa wakati, kama hawana majukumu serious na wafurahi ndoa...
Mwanamke yeyote anayetafuta hela sana kwa bidii kama kipaumbele chake, hayupo, Kabisa, katika mpango wa Mungu. Acha