Kina Dada mnajua madhara na matokeo ya kupata watoto katika umri mkubwa kwa mara ya kwanza?

Kati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti na nyanda nyingine ndani ya Tanzania pamoja na kuwa hajaolewa na anatafuta mchumba lakini ameshawahi kuzaa.

Swala la kutafuta mchumba au mume siyo tatizo kabisa lakini siyo hoja yangu. Pointi yangu ni madhara na matokeo ya kuzaa katika umri mkubwa hasa kwa mara ya kwanza.Kitabibu kuna madhara na matokeo hasi kuzaa katika umri huo mkubwa.Baadhi ya madhara hayo ni pamoja na;

1.Uwezekano (Chance) ya kupata ujauzito kuanza kupungua
2. Na hata ukipata ujauzito katika umri huo uwezekano wa kujifungua kwa upusuaji ni asilimia 70
3.Uwezekano wa kupata mtoto mwenye matatizo (Embryological anomalies) kuwa mkubwa.
4.Uwezekano kuzaa mtoto mwenye uwezo mdogo kiakili.

Nina elewa wengi husema wanasubiri wakati sahihi wa MUNGU, ni kweli sipingi hili lakini ni MUNGU aliyetupatia maarifa na hekima tutumie kufikia mafanikio.Ni rahisi sana mdada wa kasikazini kumkuta na miaka 35 na anakimbizana na pesa mjini na akifikia miaka 38 anawaza kupata mume tena mwneye pesa.

My take: Inawezekana sana miaka 10 ijayo kaskazini ikakosa vipanga wa darasani.Inawezekana kabisa kuzalisha vilaza ambao kutokana na pesa watasoma shule nzuri na ufaulu wa kusukuma lakini siyo smart.
Mimi ambae ni mwanaume Nina 35 YRS sina mtoto unanishaurije ..unanishaurije
 
Kuzaa kabla ya ndoa ina madhara makubwa zaidi ya hayo! Zaa katika ndoa hata kama una 60 yrs
 
Umeelewa point zake vizuri ,Embryology anomalies unaielewaje?Factor ya upasuaji katika umri wa miaka 38 mimba ya kwanza unaielewaje?
Acha hizo, hujui wanawake wa kaskazini na reproductive behavior yao. Mke wangu alizaliwa mama yake akiwa over 58 ingawa si wa mwisho na …. cariha achana na vibonde hawa. Zaa katika ndoa
 
Acha uchonganishi.sisi huku North maendeleo yote tayari kitambo sana.tupo next level kuteka maeneo muhimu yenye tija ktk nchi hii.akili mingi mkuu.ulishawahi ata kusikia migogoro ya ardhi kipande hio?ulishawahi kusikia watu kuomba umeme,kujengewa shule,daraja ama zahanati?Huku car wash zipo vijijini wakati sehemu zingine zinapatikana tu town..hamasisha maendeleo ya watu mkuu na sio kuhamasisha kuzaliana hovyo bila mpango wala malengo ya hao watakaozaliwa.
 
Ubongo unahitaji lishe fatty fish,green leafy vegetables,nuts and seeds etc na factor zingine zinazochangiwa na psychology...
Lakini Kuna watu hawapigi hivo na Wana akili nzuri tu vingine Huwa vyakurithi basi
 
Umeelewa point zake vizuri ,Embryology anomalies unaielewaje?Factor ya upasuaji katika umri wa miaka 38 mimba ya kwanza unaielewaje?
Mbona Kuna watu ni below 30 na wamepasuliwa matumbo vile vile, hizo embryology hata mie nimesoma hamna chakushangaza tusiishi ku cremisha madude ya wazungu bila relevant example
 
Acha hizo, hujui wanawake wa kaskazini na reproductive behavior yao. Mke wangu alizaliwa mama yake akiwa over 58 ingawa si wa mwisho na …. cariha achana na vibonde hawa. Zaa katika ndoa
That's my bro Kuna watu hutisha watu bana bila uhalisia wowote unafikiria wengine
Hatujaenda shule na mengine tumeshuhudia Kwa watu Hadi familia woooi
 
Haya mambo yanaanzishwa na waliozaa nje ya ndoa ili na akinanyie mzae wawacheke. Mwanamke akishazaa posibility ya kuolewa huwa ni ndogo sana. Hii ni kutokana na madhira ya mtoto ambaye mume hatakuwa ni baba yake halisi. Infact akiwa ni mvulana, ni kasheshe. Haya tumeyaona kwa macho yetu.

Ila kuna jamii ambazo ndoa si jambo la muhimu, mfano wanawake wa mkoa wa Morogoro, usingo maza ni kitu cha kawaida.
 
Sio watucheke tu humu waje humu JF kuwashambulia na kuwa bully juu huku wakiongrzea wanawake stress kulea mtoto pekee kisa umri ni janga watoto wa single mom tunawaona jinsi wameshibdikana kitabia na kuathirika kisaikolojia humu mtaani.
Kiukweli Wacha waje na assumption zao hizo kuhusu wanawake Tena mleta mada inaonyesha Kuna mwanamke wa umri huo kamchomolea kufanya single mother, and by the way sikuhizi Kila mtu na malengo yake bwana
 
Kati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti na nyanda nyingine ndani ya Tanzania pamoja na kuwa hajaolewa na anatafuta mchumba lakini ameshawahi kuzaa.

Swala la kutafuta mchumba au mume siyo tatizo kabisa lakini siyo hoja yangu. Pointi yangu ni madhara na matokeo ya kuzaa katika umri mkubwa hasa kwa mara ya kwanza.Kitabibu kuna madhara na matokeo hasi kuzaa katika umri huo mkubwa.Baadhi ya madhara hayo ni pamoja na;

1.Uwezekano (Chance) ya kupata ujauzito kuanza kupungua
2. Na hata ukipata ujauzito katika umri huo uwezekano wa kujifungua kwa upusuaji ni asilimia 70
3.Uwezekano wa kupata mtoto mwenye matatizo (Embryological anomalies) kuwa mkubwa.
4.Uwezekano kuzaa mtoto mwenye uwezo mdogo kiakili.

Nina elewa wengi husema wanasubiri wakati sahihi wa MUNGU, ni kweli sipingi hili lakini ni MUNGU aliyetupatia maarifa na hekima tutumie kufikia mafanikio.Ni rahisi sana mdada wa kasikazini kumkuta na miaka 35 na anakimbizana na pesa mjini na akifikia miaka 38 anawaza kupata mume tena mwneye pesa.

My take: Inawezekana sana miaka 10 ijayo kaskazini ikakosa vipanga wa darasani.Inawezekana kabisa kuzalisha vilaza ambao kutokana na pesa watasoma shule nzuri na ufaulu wa kusukuma lakini siyo smart.
Utakuwa umetoswa na dada wa Kaskazini.

Siyo kosa lao, hata familia zao ziko strict sana. Binti akibeba mimba kijinga anafukuzwa bila kujali umri wake. Anatengwa hata kama unasoma chuo kikuu.

Imeshakuwa ni utamaduni kwao kutozaa ovyo.
 
Sio watucheke tu humu waje humu JF kuwashambulia na kuwa bully juu huku wakiongrzea wanawake stress kulea mtoto pekee kisa umri ni janga watoto wa single mom tunawaona jinsi wameshibdikana kitabia na kuathirika kisaikolojia humu mtaani.
Kiukweli Wacha waje na assumption zao hizo kuhusu wanawake Tena mleta mada inaonyesha Kuna mwanamke wa umri huo kamchomolea kufanya single mother, and by the way sikuhizi Kila mtu na malengo yake bwana
Nakuaminia ujue. Ashira ilifanya kazi si mchezo
 
Famasiara na ile shule ndugu yangu, pia as I grow I come to realize sio mtu, mafezwa mengi au sijui watoto can give me happiness or whatever it's just my inner peace na kuishi mitazamo chanya basi ndio furaha vingine ni extras whether I have thank you God, I don't have Asante Mungu basi.
 
Kuna bidada yupo around 35 yrs (hatuna mahusiano) ni marafiki tu kimtindo,alioniomba tuzae matunzo yote juu yake, nikatoa nje, haukupita muda nikamuona ana kitumbo huku akininyari[emoji2][emoji2]..nilajua kuna mtu huko ashapachikwa zigo.
Nyie ndio mliotahiriwa hospital tena kwa ganzi, akili zenu zinakuaga hafifu sana.
 
Back
Top Bottom