Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Huu mwaka msipobadilika kuna uwezekano mkasemwa hadi uchaguzi 2025.Bado hamjatosheka kuwasema wanawake wa kaskazini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mwaka msipobadilika kuna uwezekano mkasemwa hadi uchaguzi 2025.Bado hamjatosheka kuwasema wanawake wa kaskazini?
MRI Sijakushutum! Ila ni kama vile unateseka na watu ambao wao hawateseki na maamuzi yao.Kama nimesema uongo shuhudia huo uogo. Lakini kama nimesema vyema kwanini wanishutuma?
Ni kweli nateseka nao ndiyo maana natoa ushauri ili wanipunguzie mateso mimi na wenzanguMRI Sijakushutum! Ila ni kama vile unateseka na watu ambao wao hawateseki na maamuzi yao.
Na Kuna wengine wanahifadhi mayai Yao hata miaka ishirini mbele yanakuwa mtoto kabisaYaani katika utafiti wako wote ulioufanya ni wa wadada wa kaskazini tu ndio umewalenga?
Kuna demu wa kichaga alikupiga tukio
Watu wanazaa umri wowote siku hizi,hayo ni maneno ya kijiweni
[emoji2][emoji2][emoji2]Mbona huko pemba wanazaana sana na Tena mapema tu lakini ndio wanaongoza kwa kushika nafasi za mwisho kitaifa.
Hapo sayansi imekaaje??
Kumbe unajua ngeli mkuu, on mependa hio phrase yako ya mwishowewe elezea kwa namna inayo make sense
si unajua tena skuizi usipojua ngeli hupati pisi😀Kumbe unajua ngeli mkuu, on mependa hio phrase yako ya mwisho
Unajitahidi mdogo angu 😃😃si unajua tena skuizi usipojua ngeli hupati pisi😀
senkyuuu.... 😂Unajitahidi mdogo angu 😃😃
Umeanza kuzidi kua online na wewe 😃😃Kwa Yesu hayo yote hayapo....tutazaa vizuri tu watoto wazuri wasio na matatizo yoyote. Amen
My pleasuresenkyuuu.... 😂
Lazy Day and night niko tu homeUmeanza kuzidi kua online na wewe 😃😃
Ubongo unahitaji lishe fatty fish,green leafy vegetables,nuts and seeds etc na factor zingine zinazochangiwa na psychology...Mamangu alinizaa umri umeenda na Niko genius vizuri tu, vitu vingine havina uhalisia Kuna maeneo vijijini watu wanezaa at tendor age na watoto ni empty set
Ni mtoto wa kwanza kwake?Mamangu alinizaa umri umeenda na Niko genius vizuri tu, vitu vingine havina uhalisia Kuna maeneo vijijini watu wanezaa at tendor age na watoto ni empty set
Mamangu alinizaa umri umeenda na Niko genius vizuri tu, vitu vingine havina uhalisia Kuna maeneo vijijini watu wanezaa at tendor age na watoto ni empty set