Kina Dada mnajua madhara na matokeo ya kupata watoto katika umri mkubwa kwa mara ya kwanza?

Kati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti na nyanda nyingine ndani ya Tanzania pamoja na kuwa hajaolewa na anatafuta mchumba lakini ameshawahi kuzaa.

Swala la kutafuta mchumba au mume siyo tatizo kabisa lakini siyo hoja yangu. Pointi yangu ni madhara na matokeo ya kuzaa katika umri mkubwa hasa kwa mara ya kwanza.Kitabibu kuna madhara na matokeo hasi kuzaa katika umri huo mkubwa.Baadhi ya madhara hayo ni pamoja na;

1.Uwezekano (Chance) ya kupata ujauzito kuanza kupungua
2. Na hata ukipata ujauzito katika umri huo uwezekano wa kujifungua kwa upusuaji ni asilimia 70
3.Uwezekano wa kupata mtoto mwenye matatizo (Embryological anomalies) kuwa mkubwa.
4.Uwezekano kuzaa mtoto mwenye uwezo mdogo kiakili.

Nina elewa wengi husema wanasubiri wakati sahihi wa MUNGU, ni kweli sipingi hili lakini ni MUNGU aliyetupatia maarifa na hekima tutumie kufikia mafanikio.Ni rahisi sana mdada wa kasikazini kumkuta na miaka 35 na anakimbizana na pesa mjini na akifikia miaka 38 anawaza kupata mume tena mwneye pesa.

My take: Inawezekana sana miaka 10 ijayo kaskazini ikakosa vipanga wa darasani.Inawezekana kabisa kuzalisha vilaza ambao kutokana na pesa watasoma shule nzuri na ufaulu wa kusukuma lakini siyo smart.
Kwahiyo unataka wazae tu hata kama hawajaolewa? Mkiwalisha muwakimbie baadaye muanze kuwasimanga kuwa singo mamaz hawafai? Acha wazae na hiyo miaka 38 kikubwa azae na mume wake Sarah alizaa na miaka 90 huko mtoto hakuwa na shida yoyote sembuse was 38?
 
Pointi yangu ni madhara na matokeo ya kuzaa katika umri mkubwa hasa kwa mara ya kwanza.Kitabibu kuna madhara na matokeo hasi kuzaa katika umri huo mkubwa.

Pole sana mkunga! inaonekana unateseka na wadada wa kaskazini.
 
Uko sahihi shule na ndugu yake vitabu wadaganya
 
Pointi yangu ni madhara na matokeo ya kuzaa katika umri mkubwa hasa kwa mara ya kwanza.Kitabibu kuna madhara na matokeo hasi kuzaa katika umri huo mkubwa.

Pole sana mkunga! inaonekana unateseka na wadada wa kaskazini.
Kama nimesema uongo shuhudia huo uogo. Lakini kama nimesema vyema kwanini wanishutuma?
 
Kati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti na nyanda nyingine ndani ya Tanzania pamoja na kuwa hajaolewa na anatafuta mchumba lakini ameshawahi kuzaa.

Swala la kutafuta mchumba au mume siyo tatizo kabisa lakini siyo hoja yangu. Pointi yangu ni madhara na matokeo ya kuzaa katika umri mkubwa hasa kwa mara ya kwanza.Kitabibu kuna madhara na matokeo hasi kuzaa katika umri huo mkubwa.Baadhi ya madhara hayo ni pamoja na;

1.Uwezekano (Chance) ya kupata ujauzito kuanza kupungua
2. Na hata ukipata ujauzito katika umri huo uwezekano wa kujifungua kwa upusuaji ni asilimia 70
3.Uwezekano wa kupata mtoto mwenye matatizo (Embryological anomalies) kuwa mkubwa.
4.Uwezekano kuzaa mtoto mwenye uwezo mdogo kiakili.

Nina elewa wengi husema wanasubiri wakati sahihi wa MUNGU, ni kweli sipingi hili lakini ni MUNGU aliyetupatia maarifa na hekima tutumie kufikia mafanikio.Ni rahisi sana mdada wa kasikazini kumkuta na miaka 35 na anakimbizana na pesa mjini na akifikia miaka 38 anawaza kupata mume tena mwneye pesa.

My take: Inawezekana sana miaka 10 ijayo kaskazini ikakosa vipanga wa darasani.Inawezekana kabisa kuzalisha vilaza ambao kutokana na pesa watasoma shule nzuri na ufaulu wa kusukuma lakini siyo smart.
Mwanamke kupata kifafa Cha mimba ni rahisi akipata mimba uzeeni
 
Yaani katika utafiti wako wote ulioufanya ni wa wadada wa kaskazini tu ndio umewalenga?

Kuna demu wa kichaga alikupiga tukio

Watu wanazaa umri wowote siku hizi,hayo ni maneno ya kijiweni
 
Wewe mie niwakaskazini broo ila kwanza maisha yetu hayakuhusu aisee nausitutake tukuchambe wewe uliyezaliwa na mama Yako akiwa kijana mbona Huna akili unaongea ushoga ushoga humu , jingine usituletee gundi bwana , wanadada wenu wanakuja kutoka mikoani wamekomaa hawana inshu wamezeeka hata kutembea hawatembei mbona hatuwasemi
 
Back
Top Bottom