Kina Dada mnajua madhara na matokeo ya kupata watoto katika umri mkubwa kwa mara ya kwanza?

Mara nyingi umasikini unasababisha mabinti watiwe mimba wangali wadogo mno.... Hivyo tusijivunie hili!
Umasikini unasingiziwa tu. Nani alisema au alipitisha kanuni kuwa binti akizaa katika umri mdogo basi ni umasikini umesababisha? [emoji848]

Kibailojia umri sahihi wa kupata mtoto kiafya ni huo kuanzia miaka 16 na amalizie au kuchelewa sana iliyopitiliza ni 35 awe busy na malezi.

Huu mtazamo wa kusema binti akizaa miaka ya early 20s kuwa ni changizo la umasikini ni matokeo ya fikra za nyemelevu za kimagharibi ambazo hazina usambamba na asilia yetu waafrika.
 
Unajua wanaowasema wanawake ni kundi tofauti la wanaume. Ukiona wanaume wanatetea single mothers the nakupa guarantee ni miongoni mwa hawa wafuatao, ni watoto wa masingle mother, wana dada na wadogo zao ambao ni single mother, ni kundi la wanaume ambao wamezalisha na kutelekeza mabinti so wanapata hofu ya kufikiwa kwa lawama etc.

Usione wanaume wa asema single mother humu ukadhani wanalaumu walichokitengeneza la hasha. Kuwa makini sana eneo hilo.
 
Yeah it's true kwenye topic ya genetics tulisoma advance kwenye B.S.
 
Acha kutisha watu na wakiwa na umri mkubwa ndo wanakuwa na uwezekano mkubwa wa kuzaa mapacha.
Hadi mwili wenyewe unajaribu kukuonya kwa kukupa watoto wengi kwenye uzao m'moja ili uachane na kuzaa wewe haushituki tu?

Yaani inafika hatua hadi mwili unaona hapana hii kitu sio sahihi na isiendelee wewe unakazana tu matokeo yake sasa ndio hayo.
 
Uwezo mdogo wa akili wa mtoto, umefanya utafiti? Kuna mtu alipata mtoto alipogonga 56, mtoto sasa ni professor tena katika fani ya sayansi.
 
Mwanamke kupata kifafa Cha mimba ni rahisi akipata mimba uzeeni
Na kuna ile tatizo jingine anapatwa na kichaa kitokanacho na kujifungua. Sijui kinaitwaje kile. Kuna wanaopona na kuna ambao hawaponi maisha.
 
Mbona huko pemba wanazaana sana na Tena mapema tu lakini ndio wanaongoza kwa kushika nafasi za mwisho kitaifa.

Hapo sayansi imekaaje??
Factors zao sio za kibailojia ni za kisiasa, mbona unajifanya haujui au unataka kuanzisha mjadala hapa kati ya wazanzibari na wabara?
 
Mamangu alinizaa umri umeenda na Niko genius vizuri tu, vitu vingine havina uhalisia Kuna maeneo vijijini watu wanezaa at tendor age na watoto ni empty set
But still haibadishi ukweli kuwa hili swala halijakaa sawa na ni changamoto mpya ya kijamii. Nisichoelewa why watu mnakuwa defensive na kutomuelewa mleta mada anataka kuproject nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah shabashi.... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake wa ukanda huu wanaendekeza starehe zaidi, hilo laweza kuwa sababu, lakini wanakuwa na watoto, kuhusu kutokuzaa wakiwa na miaka 38 hilo ni kila kabila, ila ni asilimia chache hivi Lady Jaydee ni wa kaskazini.
Lady J Dee ni Mjita kama sio Mkurya. Hana mtoto sababu ana changamoto za kiafya, alishawahi kulisema hilo mtandaoni.
 
Jibu hoja acha attacking za hovyo.Unauwezo wa kufanya upasuaji kwa kusoma online hata kama ni Genius?Umesoma DNA na Genetics in general tukikuletea sample ututafutie population zenye RI and R2 ambazo haziruhusiwi kupewa dawa fulani fulani unaweza?
Nimezimia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah hapa umetoa nondo za kibailojia.
 
Hivi akili za darasani ndizo akili za maisha? [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…