Neno kabisa, namjua mmoja bwana mama ni msumbufu kwa mawifi zake kinomaaaa, sasa kahamishia familia yake kwa kaka yake na toto lake kubwa limemaliza chuo wote wanakaa hapo kwa kaka. Basi wifi wa japo home hafurukuti, wifi mwenyewe mzeee, wakati mke ni binti mdogo tu.
Hehehehe hata mimi natamani hivohivo
Mwanaume ukisimama kama mwanaume hakuna dada atakayeingilia familia yake
Ni namna tu ya ku handle kero ndo inatofautiana, kwani we hakuna muda shemeji ako anakukera?Duh! Wanawake mna kazi sana.
Wakati sisi tunapiga Monde na mashemeji zetu , nyie mmekaa na mawifi zenu kimitego mitego.
You better learn to love each other, otherwise hamtaweza kuwa na maisha yenye utulivu.
Asikudanganye mtu wala usijidanganye.
Kaka mbele ya dada huwa anabadilika kabisa...labda ampate mke kichwa kigumu ndio atasimama
Kaka ana nafasi yake kubwa tuNasikitika katika familia yetu hatuna kaka.
Laiti angekuwepo nahisi ningekuwa wifi mwema kwa mke wa kaka.
Lakini....inakuwaje kama unakutana na mke wa kaka ambae nae ni jeuri?
Maana mimi naamini katika ndoa kaka hujua tabia ya dada yake tangu wanakuwa wote, leo hii anao halafu anamleta dada yake ambae anajua fika kuwa ni mkorofi.
Mie naona na kaka zetu pia wanachangia huu 'ukorofi-mvurugano'
Hata mi naamini hivi mara chache mwanaume kusimama upande wa mke, mara nyingi sanaaa mwanaume anasimamia dada zake, yani kama ni mzani dada kilo 5 mke nusu kilo
Watag tu wifi zako ha ha ha
Damu nzito kuliko supu
Ukikutana na kina dada wanasema siku zote kaka anasimama kwa mkewe
Hahaa daaah umenikumbusha....mimi na kaka yangu ninayemfuata tangu tupo wadogo tunapendana kishenz...yan ni marafiki haswaaa...tukikaa pamoja full kutaniana, kupigana,kukimbizana yan full raha. Sasa juzi tu hapa hata kaja kututambulisha mkewe mtarajiwa. Bas my elder sista kaniambia nianze ku-maintain distance maana keshakuwa na wake sasa...yaan ni furaha iliyochanganyika na machungu
Mimi ninabahati sina wifi, nna mashemeji tu, hao mawifi ni mama zangu wanazingua sana wake za wajomba zangu.
Ntajitahidi nimfundishe mmoja wao kutumia JF awe anapata somo hahaha
Sio hivyo wifi...mimi ndo naolewaWifi nimekufuma.
Unatubadilisha tu.
Ni kweli , lakini nyie hata uchangiaji wenu humu unaonesha mnajiandaa kivita vita!Ni namna tu ya ku handle kero ndo inatofautiana, kwani we hakuna muda shemeji ako anakukera?
wanawake huweka vinyongo wanaume ni mara chache, ndo maana misunderstanding za mashemeji ni chache kuliko za mawifi
Eeeeh! Kumbe na wewe umo? Naanza kuona ndoa ya kaka yako ikiingia matatizoni, mazoea ni shida
Sio kujiandaa ila ndo hali halisi ya maisha ya mawifiNi kweli , lakini nyie hata uchangiaji wenu humu unaonesha mnajiandaa kivita vita!
Just remember Love and caring , real matters.
Ni namna tu ya ku handle kero ndo inatofautiana, kwani we hakuna muda shemeji ako anakukera?
wanawake huweka vinyongo wanaume ni mara chache, ndo maana misunderstanding za mashemeji ni chache kuliko za mawifi
Teh kwakua story zangu huwa ni chai au?Yaani nilivyoona ni wewe umeanzisha topic nikajua chai tu hii!
He, kumbe ni mambo ya maana.
Teh kwakua story zangu huwa ni chai au?