MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Mmezidi matukio na ufedhuli, halafu nikiwasifiaga mbona huji kunishukuru!Sure! comment zako ziko negative sana na wanaume!
16 kuelekea 17 na kalikuwa kakisu kweli kweli.. Tuache hisia mbaya tu, ingawa wa wababa wengine waliokosa kujiheshimu hiyo ni mboga ..Aseee.....akiwa na umri gani???
Hapo mama akiwakuta anaona unatake advantage.Hisia mbaya ni utumwa. Nilisha kaa na single mama ana mtoto wa kike, yule binti alikuwa kama mie ndio baba yake.. na wakati mwingine mtoto anakuja kulala na mie baba wa mchongo ili kupata joto la baba ambalo hakuwai lipata kwa baba yake Og
watoto wa kike walio kosa malezi ya baba, huwa wanakupwa wapweke sana, inapotokea wakapata hata baba wa kukopa huwa mda mwingi inakuwa faraja yao.. ikikukuta baba mwehu ndio hivyo anakula na mayaiAseee.....akiwa na umri gani???
Sijawahi ona ukisifia ,labda kesho, ila ni spana tu unapiga.Mmezidi matukio na ufedhuli, halafu nikiwasifiaga mbona huji kunishukuru!
Ni kweli huwa inatokea hivyo, ila nashukuru nilikuwa naaminika sana na mama yake, hata wakati mwingine mtoto alikuwa anakuja tunalala wote. Mtot kulelewa na mazazi mmoja huwa ni maumivu sana, nilijifunza athari wanazopata watoto wa single parentsHapo mama akiwakuta anaona unatake advantage.
Yaani mtoto wa kambo hata kumshika kiuno ukimbeba unaweza unekana unamtomasa..🤣
Ukikimbia nchale, ukichimama nkuki.Kweli wahenga walisema, Tusioe Single Mothers.
Nimekubali
1.Ukiwa mkali huwapendi kisa sio wanao
2.Ukionyesha upendo unawataka
3. Ukiwa mkimya Unawaacha Ili waharibike
Ukisimama nchale ukikaa nchale.....Kweli wahenga walisema, Tusioe Single Mothers.
Nimekubali
1.Ukiwa mkali huwapendi kisa sio wanao
2.Ukionyesha upendo unawataka
3. Ukiwa mkimya Unawaacha Ili waharibike
Basi endelea kuchimbua utazipata post nilizosifia,Sijawahi ona ukisifia ,labda kesho, ila ni spana tu unapiga.
Matukio mabaya ni machache mno dhidi ya mwanamume tofauti na kinyume chake.
Umeelewa lakini andiko bro????
Akakae na watu baki? Wakati mama yupo?Kwanini uruhusu mtoto aendelee kuishi na baba asiye wake?
Mpeleke kwao.